Kama hivyo ni vizuri sanaMbona tunao humu kama wote!?[emoji23] na kila mmoja ana chawa wake wa kutosha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivyo ni vizuri sanaMbona tunao humu kama wote!?[emoji23] na kila mmoja ana chawa wake wa kutosha kabisa
Ukiona mtu anakuwa mkali, ujue hana uwezo. Huyo spika amepanic baada ya udhaifu wake kuwekwa hadharani. Yeye atumie vyombo vya dola kumfanyizia mzee Ulimwengu maana kuna mahusiano ya kihalifu kati ya mihimili ya nchi na vyombo vya dola, lakini msg sent fullstop.Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina 😂😂
#Hovyo , CAG Assad ndio kasema.Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Jamaa kamgonga maswali ambayo kimsingi hana uwezo wa kuyajibuAonewe huruma kwani huyo ni mjomba wako??!!----- yeye anavyotishia watu huoni??!!
Ndiyo maana kuna wengine hawana vyama hata hawaoni aibuWote wa bungeni ni wachumia matumbo
kweli kuna kitu kama hicho? This is really new newsIle mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo, iondolewe nyumbani kwake ipelekwe kwenye hospitali ya umma isaidie wananchi wengi wanaoteseka badala ya kumuhudumia mtu mmoja tu wakati imenunuliwa kwa gharama kubwa kwa fedha za umma.
Huu ni ubinafsi uliopitiliza.
Ukiona mtu yeyote anaogopa kukosolewa madhaifu yake basi ujue ni dhaifu sanaHii ni observation muhimu. Kitendo cha Ndugai kuhamaki maneno ya Jenerali mitandoni, basi ni ushahidi tosha kuwa wanashinda mitandaoni, wanasoma.
Kwahiyo tuandike sana, kumbe wanasoma, wanapata ujumbe kutoka kwa wananchi.
TUANDIKE SANA
Ujinga wa kusema bunge ni dhaifu? Ajibu hoja atuonyesha uimara wa bunge sio vitisho.Tuandike vitu vya maana sio ujinga ujinga
Alisha zoeshwa kuwa yeye hawezi kukosolewa na mtu zaidi ya mteuzi wake.Ndugai afanyie kazi udhaifu wake, asihangaike kuwatisha wanaomuonesha udhaifu wake, kusemwa yeye kila siku ajue ana tatizo.
Tutaandika sana kumkosoa madhaifu yake ili hatimaye bunge letu liwe ni jicho na mdomo wa wananchi wa tanzania.Tuandike vitu vya maana sio ujinga ujinga
Jf kwa sasa ndio kimbilio la wananchi wanao hitaji habari + kwa ujenzi wa taifa letu.Ndugai hana uwezo wa kuliona hilo. GOOD umelisema atalisoma, nadhani kwa sasa the most effective informative channel ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki!
Aibu sana hiiAndunje ni zuzu kapoteza sifa ya bunge Sasa bunge ni saccos ya CCM na wale uviko 19
Hujui kisa cha yeye kuwa chawa wa shetani wa kuzimu badala ya kuwa msema chochote?Ile mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo, iondolewe nyumbani kwake ipelekwe kwenye hospitali ya umma isaidie wananchi wengi wanaoteseka badala ya kumuhudumia mtu mmoja tu wakati imenunuliwa kwa gharama kubwa kwa fedha za umma.
Huu ni ubinafsi uliopitiliza.
Kwa tanzania tatizo hili limeota mizizi kwenye awamu ya 5 haswaa.Hivi viongozi wetu kwanini hawapendi kukosolewa?! Wa Afrika tunakosea wapi? Mtawala wa kiAfrika ukitaka kukosana nae tu mkosoe walai utajuta kuzaliwa maana utabambikiwa kesi, utalaaniwa kwenye majukwaa yote na kubambikiwa kila aina ya majina yasiyo faa. Mimi nilifikiri kukosolewa iwe chachu ya kujitathmini ya kile akifanyacho.
Hivi na yeye Spika hajakosea kutoa vitisho kwa mtu aliye toa maoni yake juu ya uongozi wa Nchi unavyo kwenda? na katiba yetu inasemaje juu ya mtu kuwa ana uhuru wa kutoa maoni ktk Nchi hii?
Mkuu kwani anaimiliki kihalali?Ile mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo, iondolewe nyumbani kwake ipelekwe kwenye hospitali ya umma isaidie wananchi wengi wanaoteseka badala ya kumuhudumia mtu mmoja tu wakati imenunuliwa kwa gharama kubwa kwa fedha za umma.
Huu ni ubinafsi uliopitiliza.
Mm mpaka nina kadi ya CCM ila toka walivyoanza mambo ya upuuuzi sijarudia tena kuwapigia kura,, naona tu wanaharibu nchii,, bora niwapigie upinzani kuliko hawa ndugu zangu CCMNdiyo maana kuna wengine hawana vyama hata hawaoni aibu
Hongera sana mkuu kwa kujitambuaMm mpaka nina kadi ya CCM ila toka walivyoanza mambo ya upuuuzi sijarudia tena kuwapigia kura,, naona tu wanaharibu nchii,, bora niwapigie upinzani kuliko hawa ndugu zangu CCM