Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Mpumbavu anapopewa mamlaka. Sijui Jenerali katamka lini la ajabu na uongo la kustahili TISHO toka kwa kiongozi wa muhimili nyeti kabisa wa nchi. Uheshimiwa pasipo heshima!!
 
Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Kama siyo Mtanzania.... Anafanya nini Tanzania miaka yote hiyo.....!!?

Mkapa alijaribu yakamshinda, ndiye awe Ndugai, mzee wa Apollo.
 
Ndugai Siku hizi anajifanya eti ni Mzee wa Busara. Kila Siku lazima aje na statement ya kushauri.... Sijui hiyo busara kapata wapi..... Labda Ile miezi 6 Apollo alikuwa anafundishwa busara za Kihindi.
 
Bwana Mdogo ndugaia anahitaji maombi makali sana
 
Hii ni observation muhimu. Kitendo cha Ndugai kuhamaki maneno ya Jenerali mitandoni, basi ni ushahidi tosha kuwa wanashinda mitandaoni, wanasoma.

Kwahiyo tuandike sana, kumbe wanasoma, wanapata ujumbe kutoka kwa wananchi.

TUANDIKE SANA
NDUGAI ONA WATU WALIVYOJAZANA UZI HUU WAKIKUNANGA, UNA WALAKINI MKUBWA.
 
Tanzania hakuna bunge Bali Kuna kundi la watu wajanjawajanja. Wamekusanyika pale Dodoma Kula hela za wananchi
Alafu pamoja na kuwa wanakula fedha za wananchi lkn bado kiongozi wao anawavunjia heshima hao wananchi.
 
Mpumbavu anapopewa mamlaka. Sijui Jenerali katamka lini la ajabu na uongo la kustahili TISHO toka kwa kiongozi wa muhimili nyeti kabisa wa nchi. Uheshimiwa pasipo heshima!!
Tangu yule bundi alivyotua bungeni naona madhara yake yameshukia kwa Ndugaye
 
Tatizo lako ni kutowajua wazazi wako.
 
Ndugaye amekuwa ni mtu wa kujiweka karibu na serekale tangu magu amwambie mhimili wake unaelea juu juu......
 
Nyie vimbwenelehi hamjui chochote kuhusu Ulimwengu. Moja ya vijana walio kuwa wanaaminika tokea enzi za Mwl Nyerere ni pamoja na huyu.
Ametuwakilisha mengi hasa kuhusu harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika kuanzia alipokuwa huko Algeria.
Hapo chini akiwa na wapigania uhuru wa Frelimo na kiongozi wao Samora Machel ambaye baadae alikuja kuwa Rais wa Msumbiji.
Jee wakati huo Ndugai alikuwa wapi kama sio huko Kongwa anaokota Ubuyu wa kuuza?
 
Wakati huo andunje alikuwa anakula viwavi jeshi na ugali wa mtama huku amevaa shati oversize bila kaptura
 
Aende kapernaumu huko mkoa wa galilaya.....uzuzu wake awapelekee wanakwaya wake wa kusifu na kuabudu..
 
ndugai anatakiwa kufahamu kuwa Jenerali Ulimwengu sio size yake.
ndugai hana na hawezi kufikia kwa namna yoyote legacy aliyofikia Ulimwengu.
Bunge lenyewe limeshuka hadhi na kuonekana kituko ktk kipindi cha huyu ndugai.
Ni bora akae kimya kuliko kutafuta kick kwa Jenerali Ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…