Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Sisi wananchi tunashangazwa sana na ubabe wa kishamba unaofanywa kupitia mhimili wa Bunge letu. Ikumbukwe hili Bunge la sasa liliundwa kwa kukiuka taratibu nyingi sana kupitia kitu kinachofananishwa na Uchaguzi mkuu 2020

Tumemsikia Spika akitoa onyo kali dhidi ya Jenerali Ulimwengu kuwa wameishiwa uvumilivu.

1.
Spika anakiuka ibara ya 18 ya Katiba ya sasa

2.
Tangu uhuru mpaka leo, Bunge halijawahi kutunga sheria bali linapitisha miswada ya sheria zinazotungwa na Excutives. Ndo maana unasikia wabunge wanasema SERIKALI ILETE SHERIA BUNGENI ili waipitishe.

3.
Ndugai atupatie ushahidi lini Bunge liliwahi kuiwajibisha serikali kupitia ripoti ya CAG

4.
Je, kanuni za kudumu.za Bunge zilifuata utaratibu katika kutungwa na kupitishwa kwake? Kwa nini zinatumika kama sheria wakati hazijakidhi vigezo vya kuwa sheria?

5.
Bunge linatoa wapi mamlaka ya kutishia wananchi?

Bwana Ndugai, wananchi kwa sasa hawafuatilii sessions za Bunge. Haya ni matokeo ya kunajisi sheria za Uchaguzi na ukiukwaji wa maadili ya uongozi.

CCM tuna wakati mgumu sana 2025

Nipinge kwa hoja
Mpumbavu anapopewa mamlaka. Sijui Jenerali katamka lini la ajabu na uongo la kustahili TISHO toka kwa kiongozi wa muhimili nyeti kabisa wa nchi. Uheshimiwa pasipo heshima!!
 
Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Kama siyo Mtanzania.... Anafanya nini Tanzania miaka yote hiyo.....!!?

Mkapa alijaribu yakamshinda, ndiye awe Ndugai, mzee wa Apollo.
 
Ndugai Siku hizi anajifanya eti ni Mzee wa Busara. Kila Siku lazima aje na statement ya kushauri.... Sijui hiyo busara kapata wapi..... Labda Ile miezi 6 Apollo alikuwa anafundishwa busara za Kihindi.
 
Ndugai ajitafakari na kujitathmini kwamba kwann ktk kipindi chake ndiyo bunge limezodolewa na watu wengi wenye akili kwamba ni dhaifu?

Badala ya Ndugai kutumia nguvu nyingi sana kupambana na wanaolizodoa bunge lake ni vema angerekebisha makosa yake na akasafisha taswira ya bunge.

Kila mfuatiliaji wa duru za Siasa na kazi za bunge hapa nchini bunge limegeuka toilet paper ya serikali.

Baadhi ya waliowahi kukumbana na rungu la Ndugai kwa kulizodoa bunge ni pamoja na Prof. Assad na Pascal Mayalla . Na Sasa ameahidi kumshushia rungu Jenerali Ulimwengu.

Ndugai ashauriwe na akubali kuwa amelewa ili aache kuendelea kunywa pombe ya madaraka. Ni kweli bunge lake ni dhaifu.
Bwana Mdogo ndugaia anahitaji maombi makali sana
 
Hii ni observation muhimu. Kitendo cha Ndugai kuhamaki maneno ya Jenerali mitandoni, basi ni ushahidi tosha kuwa wanashinda mitandaoni, wanasoma.

Kwahiyo tuandike sana, kumbe wanasoma, wanapata ujumbe kutoka kwa wananchi.

TUANDIKE SANA
NDUGAI ONA WATU WALIVYOJAZANA UZI HUU WAKIKUNANGA, UNA WALAKINI MKUBWA.
 
Tanzania hakuna bunge Bali Kuna kundi la watu wajanjawajanja. Wamekusanyika pale Dodoma Kula hela za wananchi
Alafu pamoja na kuwa wanakula fedha za wananchi lkn bado kiongozi wao anawavunjia heshima hao wananchi.
 
Mpumbavu anapopewa mamlaka. Sijui Jenerali katamka lini la ajabu na uongo la kustahili TISHO toka kwa kiongozi wa muhimili nyeti kabisa wa nchi. Uheshimiwa pasipo heshima!!
Tangu yule bundi alivyotua bungeni naona madhara yake yameshukia kwa Ndugaye
 
Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina 😂😂
Tatizo lako ni kutowajua wazazi wako.
 
Ndugaye amekuwa ni mtu wa kujiweka karibu na serekale tangu magu amwambie mhimili wake unaelea juu juu......
 
Safi bwana supika. Lazima kupambana na huyu mjivuni wa kitutsi. Hao ni watu wanaojiona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu na mazereu ndio usiseme. Tangu ajue wenzake hawawezi kwa hila zao kumsimika kama rais tz kazi yake ni kupinga kila kitu..aheri hata chadema. Tena anavyozeeka na pombe kali ndio hasira zimemzidi. Macho hadi utafikiri mchina [emoji23][emoji23]
Nyie vimbwenelehi hamjui chochote kuhusu Ulimwengu. Moja ya vijana walio kuwa wanaaminika tokea enzi za Mwl Nyerere ni pamoja na huyu.
Ametuwakilisha mengi hasa kuhusu harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika kuanzia alipokuwa huko Algeria.
Hapo chini akiwa na wapigania uhuru wa Frelimo na kiongozi wao Samora Machel ambaye baadae alikuja kuwa Rais wa Msumbiji.
Jee wakati huo Ndugai alikuwa wapi kama sio huko Kongwa anaokota Ubuyu wa kuuza?
20211112_101231.jpg
 
Nyie vimbwenelehi hamjui chochote kuhusu Ulimwengu. Moja ya vijana walio kuwa wanaaminika tokea enzi za Mwl Nyerere ni pamoja na huyu.
Ametuwakilisha mengi hasa kuhusu harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika kuanzia alipokuwa huko Algeria.
Hapo chini akiwa na wapigania uhuru wa Frelimo na kiongozi wao Samora Machel ambaye baadae alikuja kuwa Rais wa Msumbiji.
Jee wakati huo Ndugai alikuwa wapi kama sio huko Kongwa anaokota Ubuyu wa kuuza?
View attachment 2007767
Wakati huo andunje alikuwa anakula viwavi jeshi na ugali wa mtama huku amevaa shati oversize bila kaptura
 
Aende kapernaumu huko mkoa wa galilaya.....uzuzu wake awapelekee wanakwaya wake wa kusifu na kuabudu..
 
ndugai anatakiwa kufahamu kuwa Jenerali Ulimwengu sio size yake.
ndugai hana na hawezi kufikia kwa namna yoyote legacy aliyofikia Ulimwengu.
Bunge lenyewe limeshuka hadhi na kuonekana kituko ktk kipindi cha huyu ndugai.
Ni bora akae kimya kuliko kutafuta kick kwa Jenerali Ulimwengu.
 
Back
Top Bottom