Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

TENA NDUNGAI ULITAKIWA KUWAMBWA MAKOFI
 
Kama ana 'ka-ugonjwa' kanakomlazimisha kutumia "dawa" kila siku ndio inakuwa tabu zaidi!
 
Ndugai Siku hizi anajifanya eti ni Mzee wa Busara. Kila Siku lazima aje na statement ya kushauri.... Sijui hiyo busara kapata wapi..... Labda Ile miezi 6 Apollo alikuwa anafundishwa busara za Kihindi.
Kwani busara huwa zinaota kama majani mkuu 🤣
 
Habari ndiyo hiyo. Thibitisheni wenyewe kwa kutembelea mitandao hiyo. Spika ajitafakari sana.
Ndugaye kachooka mapema naona ni muda muafaka akarudi kibaigwa akachunge mifugo wake
 
Hivi viwawi bado Ni Chakula mkuu?Nilitaka kufahamu na madhara yanayotokea kwa mtu aliyelelewa kwa kula viwavi.
 
Wakati wa kura za maonialipiga mtu rungu
 
Habari ndiyo hiyo. Thibitisheni wenyewe kwa kutembelea mitandao hiyo. Spika ajitafakari sana.
Ina maana Job amesahau kwamba alisema mwenyewe "Atake Asitake Mwendazake lazima aongezewe muda". Tena hiyo timu ilikuwa na akina Kessy, Lugola, Nkamia, Bashiru, Polepole, Job, Kabudi, n.k
 
2. Tangu uhuru mpaka leo, Bunge halijawahi kutunga sheria bali linapitisha miswada ya sheria zinazotungwa na Excutives. Ndo maana unasikia wabunge wanasema SERIKALI ILETE SHERIA BUNGENI ili waipitishe.
Niliwahi kusema kuliko kuwa na bunge kama hili la ndugai ni bora lisiwepo mambo yakafanywa na maafisa wa serikali tutakuwa tumeokoa fedha nyingi sana.
 
NDUNGAI MSHIRIKINA SANA
 
Ndugai aligusia kidogo hatua zinanazoweza kuchukuliwa dhidi ya Jenerali Ulimwengu ikiwa hataacha kumsema

1. HATUA ZA KIBUNGE:
Mara nyingi watu ambao inasemekana wame
likosea Bunge huitwa kwenye kamati ya maa
dila na humo wakitoka huwasikii kuongea
tena. Mfano Pasco, Makonda, Gwajima nk

2. HATUA ZA KIMAHAKAMA:
Hapa ndio sijui kama watamshitaki kama
Bunge au atashitaki Ndugai kama Yustino

Hofu yangu isije kua kama ile kauli ya vitisho aliyowahi kuitoa Heri James tena hadharani kua "sasa hivi hawatatumia risasi bali sindano moja tu pyuuu, basi"
 
Tunampongeza Jenerali Ulimwengu kwa kuwakosoa wabunge na viongozi wengine wa serikali wa kitaifa. Jenerali tunamuunga mkono na tutampa ushirikiano kila wakati, Ndugai hana uhalali wa kuwakataza watanzania wasitoe maoni yao, hii nchi ni ya kidemokrasia na sio ya kiimla. Ndugai chunga ulimi wako!
 
Ndugai

Sirro

Jaji Ibrahim

Ni vimelea vya ujiweism vilivyobakia
 
spika kuna wakati anadhani bado yuko kwenye utawala ule wa siku zile akisema huyu anyamaze au afungwe au akamatwe iwe hivyo., mama samia amejipambanua watu kutoa mawazo yao ikiwemo kukosoa serikali kwa kiwango chochote kile, avumilie tu jeneral ni mwana taaluma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…