Hilo limebaki kuwa BuNge!Siyo Jenerali tu Watanzania wote wenye akili Timamu wanatambua wazi kuwa hilo siyo Bunge bali ni genge la majizi na Majambaz ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo limebaki kuwa BuNge!Siyo Jenerali tu Watanzania wote wenye akili Timamu wanatambua wazi kuwa hilo siyo Bunge bali ni genge la majizi na Majambaz ya CCM
unawalazimisha!? Walishasema hawataki kuitwa dhaifu,kwanini wewe unarudiarudia!!Bunge ni dhaifu na ndiyo maana Spika anatumia nguvu nyingi kuwafunga wakosoaji wake midomo
Nimemsikiliza Twaha Halfan Ulimwengu hakuna baya. Sema Job anataka kuvalisha huu udhaifu wake kwa bunge zima kitu ambacho ni kosa.Kitendo cha Ndugai kuambiwa yeye kama spika hapaswi kujipendekeza kwa serikali kimemuuma ile mbaya. Analitaja bunge ili kuficha ukweli kuwa suala la kujipendekeza ni yeye aliambiwa, hivyo analitaja bunge kwa ujumla wake ili ionekane ni dharau kwa bunge zima. Lakini ukweli ni kuwa spika anajipendekeza kwa bunge, na bunge lake ni dhaifu kweli.
Ndugai awe fahari kwa Ulimwengu? Maajabu haya.Safii wacha tuone mafahali wawili!
Kwanini hupendwi kuguswa Ndugai. Wewe Mungu! Jana tu umetoa kauli ya kufoka kwa akina dada wakipewa madaraka, na wewe je ni Mdada?Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Job Ndugai bado anaumwaAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Toeni basi ka clip tumsikieNi Siri ya Ndugai
Ka clip basi! Mbona mnakuwa wachoyo?Nimemsikiliza Twaha Halfan Ulimwengu hakuna baya. Sema Job anataka kuvalisha huu udhaifu wake kwa bunge zima kitu ambacho ni kosa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubongo wa Ndugai umeharibiwa mno na virusi vya UKIMWI na Kisukari,ni vyema aende Kawe kwenye kwenye madhabahu ya Arise & Shine atapona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jamanNa sijui Israili anakwama wapi kwani kwa huyu amesharahisishiwa kazi yeye ni kufanya finishing tu.