MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Yule mzee ni mgonjwa akili zake ziliachwa IndiaWewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee?
1. Rushwa
2. Dhuluma
3. Kutupora Mademu zetu
4. Kuwasaliti Wake zenu
5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya
6. Utapeli
7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma
Generalist nimeamua Kumjibu Spika Ndugai hasa kwa kile nilichoona kimeandikwa katika Gazeti la Nipashe la leo tarehe 17 April, 2021 Ukurasa wa Pili.
Nasikia za chini chini kuna Selengetiboi kamugongea mchepuko wakeSabufa anazingua sana
Nasikia za chini chini kuna Selengetiboi kamugongea mchepuko wake
Yeye Na mkewe siyo waaminifuView attachment 1754189
Hivi hakuna namna wabunge wanaweza badili spika aliyepo?
Mpaka sasa Ziraeli ametupenda sana Watanzania,anawachukua wale wote wanaowatesa na kuwanyonya.Labda 'Israeli' atawasaidia Siku si nyingi.
Aise.Labda 'Israeli' atawasaidia Siku si nyingi.
Mimi inshu ya bandari ya bagamoyo ,sijamuelewa,kipindi Cha magu alisema nn,na sasa.amesema nn.[emoji19]
Halafu huyo mchepuko namjuaNasikia za chini chini kuna Selengetiboi kamugongea mchepuko wake
Mchepuko wake n naniNasikia za chini chini kuna Selengetiboi kamugongea mchepuko wake