Spika Ndugai ni kweli kabisa Sisi Vijana siyo Waaminifu Je, nyie Wazee mlikuwa Waaminifu lini?

Spika Ndugai ni kweli kabisa Sisi Vijana siyo Waaminifu Je, nyie Wazee mlikuwa Waaminifu lini?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee?

1. Rushwa
2. Dhuluma
3. Kutupora Mademu zetu
4. Kuwasaliti Wake zenu
5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya
6. Utapeli
7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma

Generalist nimeamua Kumjibu Spika Ndugai hasa kwa kile nilichoona kimeandikwa katika Gazeti la Nipashe la leo tarehe 17 April, 2021 Ukurasa wa Pili.
 
Yule mzee ni mgonjwa akili zake ziliachwa India
 
Yeye Na mkewe siyo waaminifu
JamiiForums1684529789.jpg
 
Mimi inshu ya bandari ya bagamoyo ,sijamuelewa,kipindi Cha magu alisema nn,na sasa.amesema nn.[emoji19]
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku
Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
Inaonesha mukichwa hapako vizuri.Ingekuwa nchi za wenzetu wanaojitambua huyo jamaa angekwisha ondolewa kitini kitambo.
 
Back
Top Bottom