Spika Ndugai ni kweli kabisa Sisi Vijana siyo Waaminifu Je, nyie Wazee mlikuwa Waaminifu lini?

Spika Ndugai ni kweli kabisa Sisi Vijana siyo Waaminifu Je, nyie Wazee mlikuwa Waaminifu lini?

Wewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee?

1. Rushwa
2. Dhuluma
3. Kutupora Mademu zetu
4. Kuwasaliti Wake zenu
5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya
6. Utapeli
7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma

Generalist nimeamua Kumjibu Spika Ndugai hasa kwa kile nilichoona kimeandikwa katika Gazeti la Nipashe la leo tarehe 17 April, 2021 Ukurasa wa Pili.
Thread bora ya wiki. Akikujibu unishitue na Mimi.
 
Back
Top Bottom