Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Thread bora ya wiki. Akikujibu unishitue na Mimi.Wewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee?
1. Rushwa
2. Dhuluma
3. Kutupora Mademu zetu
4. Kuwasaliti Wake zenu
5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya
6. Utapeli
7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma
Generalist nimeamua Kumjibu Spika Ndugai hasa kwa kile nilichoona kimeandikwa katika Gazeti la Nipashe la leo tarehe 17 April, 2021 Ukurasa wa Pili.