Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Mbeleko imekatoboka mzee, kuna watu watalimia meno round hii!! Hakuna undugu, ukabila, utani wala ukanda hapa
 
Kauli ya Spika wa Job Ndugui hii leo inaonesha haamini utawala wa sasa.

Amesema " Wanaofurahia kifo cha Mkulima wa mahindi wamesahau mwakani hawana pakula?
Hao watakuwa MaCCM wenzake.Manake upinzani walishajikatia tamaa na Jiwe kupata zuri lolote kutoka kwake.Ndio maana wenye mioyo miepesi walianza kuunga mkono juhudi! 🤣
 
Yajayo yanafurahisha sana waliounga mkono sijui itakuwaje chama imerudi kwa wenyewe sasa
 
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana...
Hata km mkulima angekuwepo wasingekula mahindi hayo!

Bali aliwatamanisha tu.waKashindwa kwenda mbali kula matunda.

Sawa nyani walikuwa wanaiba mkulima alikuwa hawapi bure. Aliwatishia uhai ni hatari kwao.

Mkulima akifa shambani kwake ni njia wazi kwenda kula matunda ya bure huko mbele

Mfano huu ni wa kishamba wa kizamani. haujakidhi haja za wenye uelewa.

Mkulima hakutoa bure kwa hao nyani. Zaidi aliwaua na kuwa tishio ktk makazi yao! Kwani kabla ya mkulima kuja kuweka shamba hawakuishi kwa kula matunda?

Mfano huu ni mfu lkn mleta mada kaona bonge la point.
 
..hiki sio kipindi cha kutoa kauli zisizokuwa na staha. Ni kipindi cha kumuombea DUA NZURI marehemu, na kuwafariji familia, na wananchi kwa ujumla.

..Shughuli hii imehudhuria na wageni mbalimbali toka nje ya nchi, halafu wenyeji kama Spika wa Bunge wanatoa kauli za hovyo-hovyo. Huko ni kuiaibisha nchi na kuwakera wageni waliokuja kutufariji.
 
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana...
Sisi Nyani na wenzetu wa jamii kama zetu Tumbili, Sokwe, Kima, Gendaheka tunamuombea Bw. Subwoofer nae Mungu ampende zaidi haraka iwezekanavyo ili somo lieleweke vizuri.

Maana Lumumba wanajifanya hawajamuelewa Mungu kwa kutoa somo kupitia kupitia kifo cha Malaika Jiwe. Mungu hutoa somo kwa wababe na wenyenguvu kupitia umauti wa Kiongozi wa ubabe

Japo Mungu hapangiwi ila kama dua yangu inasikika basi Mungu Mkuu ajaalie isifike Mwezi 30th June 2021 nayeye awe ameisha pendwa zaidi na Bwana na kisha apokelewe na kwa mlango wa nyuma ya mbingu iwe rahisi kumfikishia kwenye lile tanuru la moto
 
Tena basi umenikumbusha uongozi wa waislamu wote na wasabato hatukomagi sana no misukosuko mingi!! Wakristo wenzangu tupate fundisho hapa.

kama hawa mbuzi katoliki jamani tunakomaje? Fabrillatio tu imuindoe mtu anae kula uzuri hataas!!!

Halafu afya zao hawa islamu ziko bara bara km kimzee mwinyi chuma kile kilipigwa makofi lkn hakikufa!

Kikwete kapigwa jukwaani ghafla lkn wapi!! Sasa huyu marehemu angepigwa kofi na hiyo fiburation yake si ingekuwa ntolee!

Mjifunzege kwa waislamuu kufunga na kuomba acheni kiburi!!!marehemu aliwahi kufunga kweli???

Kuna haja ya kujiuliza huko vatican ni salama kweli???? Sijui wanaombaga nini?? Wajifungamanishe tu na waislamu.
 
Tena basi umenikumbusha uongozi wa waislamu wote na wasabato hatukomagi sana.no misukosuko mingi!! Wakristo wenzangu tupate fundisho hapa...
Khaaaa nimecheka hatari... Wewe mtu wa kamnyonge na majita makojo umeandika nn? Hiyo fibrillation hiyo sasa
 
Maneno ya aibu kusema mtu mwenye hadhi ya Spika.

Kwani waliofanya nchi shamba la bibi ni akina nani?? Huu ndio ulikuwa udhaifu, ili kuzuia watu wabaya tulipaswa kubadilisha sheria na taratibu!

Vijembe havikuwahi kumzuia mwovu!
 
Akumbuke ccm walishangilia pale waliposema Zitto auwawe
 
Duh, hadi adande sele😀😀😀
Kama ajajenga au alichukua mkopo Mkubwa ndo imekula kwake hata alie kilio cha mbwa mbuzi.Gambo na Hapi angalau walianza kurudi nyuma.
Dunia bado haijashindwa kufunza watu.
 

Attachments

  • FB_IMG_16164225689702085.jpg
    35.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16164225123488001.jpg
    43.8 KB · Views: 2
Yani kajisema mwenyewe kua yeye nyani ndio mana wahindi walimpunguza vidole,akirudi india wanapunguza zaga na kengele zake,mungu fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…