Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Ndungai sio kiongozi Wala hana karba ya uongozi, mawazo yake yapo kimipasho na malumbano kuliko kutumia HEKIMA na BUSARA!! Inashanga kuona mkuu wa mhimili muhimu yupo katika kipindi ambacho anahitaji kutoa maneno ya HEKIMA yeye yupo kuwachambua watu.

Huyu ni mpuuzi mkubwa na mimi sio Mungu ila na yeye kwa tabia yake ya roho mbaya atakuwa na mwisho mbaya...
 
Nyani na ngedere hao watalima mahindi yao au watatafuta mbadala ya kuishi. Pole Ndugai kwa kuwafananisha walioumizwa na marehemu kuwa ni nyani au ngedere.
 
Nyani wapo wengi, kuwataja wachache
1. Tundu lissu
2. Fatma karume
3. Binti wa sarungi
4. Zitto kabwe
5. Na genge lao lote na bavicha maji...
Ila siyo mbaya kabaki mwenyewe mtoa shombo. Imagine hapo kabla tulikuwa tunapigwa shombo kwa Ndugai tukitoka hapo tunapokelewa na Jiwe. Tuendelee kunywa mtori. Kama tuliweza kuvumilia shombo dabo dabo tutashindwa hizi singo shombo! Ila ajue tu kuwa ameondoka baba wa shombo yeye amebaki katoto tuu!
 
Spika kuna kitu alitaka kusema kuhusu mfano huo ila kikampotea

Lakini pia nayeye kakazia, akifa azikwe kongwa.
 
That's a phrase you fool, yaani hii sentensi mmeitafsiri neno kwa neno na wala hamjahangaisha bongo zenu au yawezekana ndio uwezo wenu umefika mwisho...chekecha akili wewe mtu mzima, acha kuaibisha utu uzima...
Soma signature phrase hapa chini; inakuhusu
 
Huyo Spika kaigeuza Nchi yetu kuwa Jamhuri ya Wajinga
 
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.

Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?

Je, ni Ufipa?

Na kwanini mwakani watakosa chakula?

Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.

Maendeleo hayana vyama!

========================

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano ya tarehe 17 Machi 2021.

Kiongozi huyo wa mhimili wa bunge, amewashukia watu hao leo Jumatatu tarehe 22 Machi 2021, wakati mwili wa Hayati Rais Magufuli ukiagwa na wabunge kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.

Hayati Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena, mkoani Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu ya matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo.

Akizungumzia kifo hicho, Spika Ndugai amewafananisha watu hao na nyani waliofurahia kifo cha mwenye shamba la mahindi, ambaye alikuwa anawazuia kula mahindi yake.

“Sasa iko hadithi ya wale nyani walioshambulia shamba la mkulima kwenye mahindi, wakifurahi sana mahindi yanapokuwa yanaiva wanavuna wanakula, walipopata habari mwenye shamba amefariki wale nyani walifurahi sana.”

“Naamini katika nchi yetu manyani wa namna hii hawakosekani, lakini wakasahau mwaka uliofika wakati mahindi kuiva wakarudi shambani kula mahindi wakasahau mwenye shamba alifariki mwaka jana wakawa wanasikitika,” amesimulia Spika Ndugai.

Spika Ndugai ameshauri Watanzania, wasiwe kama ngedere hao kwa kutofanya mambo mabaya ambayo hayati Rais Magufuli aliyakataza.
Huo mfano nadhani anamaanisha wale wateule wa Rais ambao wamekuwa kwenye hizo nafasi kwa kiteuliwa na marehemu.

Hawajui kutokana na kifo cha aliyewateua, huenda mwakani wasiwe wateule tena.
 
Nyani wapo wengi, kuwataja wachache
1. Tundu lissu
2. Fatma karume
3. Binti wa sarungi
4. Zitto kabwe
5. Na genge lao lote na bavicha maji...
Wewe kwenye intepretation ni zero. Nyani lazima wawe ni wale wanufaika wa awamu ya 5. Aliwateua lakini wakamchukia kwa sababu aliwazuia kuiba. Wanashangilia kifo chake kimya kimya. Wasichokijua ni kuwa Rais mpya anaweza asiwateua, hivyo hata nafasi za kuweza kuiba, hawatakuwa nazo.

Wengine wapo ndani ya Serikali, wamefurahia kifo kwa vile wanadhani marehemu alikuwa kizuizi cha wao kugombea Urais. Wanajulikana sana. Kwa unafiki wanajifanya wanasikitika.
 
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.

Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?

Je, ni Ufipa?

Na kwanini mwakani watakosa chakula?

Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.

Maendeleo hayana vyama!

========================

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano ya tarehe 17 Machi 2021.

Kiongozi huyo wa mhimili wa bunge, amewashukia watu hao leo Jumatatu tarehe 22 Machi 2021, wakati mwili wa Hayati Rais Magufuli ukiagwa na wabunge kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.

Hayati Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena, mkoani Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu ya matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo.

Akizungumzia kifo hicho, Spika Ndugai amewafananisha watu hao na nyani waliofurahia kifo cha mwenye shamba la mahindi, ambaye alikuwa anawazuia kula mahindi yake.

“Sasa iko hadithi ya wale nyani walioshambulia shamba la mkulima kwenye mahindi, wakifurahi sana mahindi yanapokuwa yanaiva wanavuna wanakula, walipopata habari mwenye shamba amefariki wale nyani walifurahi sana.”

“Naamini katika nchi yetu manyani wa namna hii hawakosekani, lakini wakasahau mwaka uliofika wakati mahindi kuiva wakarudi shambani kula mahindi wakasahau mwenye shamba alifariki mwaka jana wakawa wanasikitika,” amesimulia Spika Ndugai.

Spika Ndugai ameshauri Watanzania, wasiwe kama ngedere hao kwa kutofanya mambo mabaya ambayo hayati Rais Magufuli aliyakataza.
Huyu ndugai alikuwa akimuabudi marehemu kuliko Mungu. Sasa mungu wake amekufa anaanza nb kunwabwaja. Hakuna nyani kuliko yeye aliyetumia mabilioni ya fedha kifisadi katika matibabu huko india
 
Wewe kwenye intepretation ni zero. Nyani lazima wawe ni wale wanufaika wa awamubya 5. Aliwateua lakini wakamchukia kwa sababu aliwazuia kuiba. Wanashangilia kifo chake kimya kimya. Wasichojua nibkuwa Rais mpya anaweza adlsiwateua, hovyo hata nafasi za kuweza kuiba, hawatakuwa nazo.

Wengine wapo ndani ya Serikali, wamefurahia kifo kwa vile wanadhani marehemu alikuwa kizuizi cha wao kugombea Urais. Wanajulikana sana. Kwa unafiki wanajifanya wanasikitika.
Hiyo ni intepretation yako...
 
Nao
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.

Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?

Je, ni Ufipa?

Na kwanini mwakani watakosa chakula?

Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.

Maendeleo hayana vyama!

========================

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano ya tarehe 17 Machi 2021.

Kiongozi huyo wa mhimili wa bunge, amewashukia watu hao leo Jumatatu tarehe 22 Machi 2021, wakati mwili wa Hayati Rais Magufuli ukiagwa na wabunge kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.

Hayati Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena, mkoani Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu ya matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo.

Akizungumzia kifo hicho, Spika Ndugai amewafananisha watu hao na nyani waliofurahia kifo cha mwenye shamba la mahindi, ambaye alikuwa anawazuia kula mahindi yake.

“Sasa iko hadithi ya wale nyani walioshambulia shamba la mkulima kwenye mahindi, wakifurahi sana mahindi yanapokuwa yanaiva wanavuna wanakula, walipopata habari mwenye shamba amefariki wale nyani walifurahi sana.”

“Naamini katika nchi yetu manyani wa namna hii hawakosekani, lakini wakasahau mwaka uliofika wakati mahindi kuiva wakarudi shambani kula mahindi wakasahau mwenye shamba alifariki mwaka jana wakawa wanasikitika,” amesimulia Spika Ndugai.

Spika Ndugai ameshauri Watanzania, wasiwe kama ngedere hao kwa kutofanya mambo mabaya ambayo hayati Rais Magufuli aliyakataza.
Naona Nyani mkubwa kaongea.
😅😅😅😅😅
 
JamiiForums-785088164.jpg
 
Huyo asamehewe kichwani kuna shida
 
Back
Top Bottom