Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Yeye mwenye jizi, limetumia mabilion kujitibu jizi kubwa
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.

Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?

Je, ni Ufipa?

Na kwanini mwakani watakosa chakula?

Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.

Maendeleo hayana vyama!
 
Message sent and delivered....
 
Mzee corona baba tusaidie Huu mlo ni halali yako kabisa tena anzia miguuni
 
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.

Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?

Je, ni Ufipa?

Na kwanini mwakani watakosa chakula?

Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.

Maendeleo hayana vyama!
Kauli za kijinga toka kwa wajinga...
Nyani wana akili sana... Hawategemeii mahindi pekee.
Uzuri mwingine ni kuwa hata kabla ya mkulima wa mahindi nyani walikuwepo...

Labda kama atakuwa anawasema uzao manyani wa #mataga walozoea vya kubebwa bebwa (kupewa pewa) kama yeye... Na hasa wabunge na mawaziri manyani...
 
Back
Top Bottom