Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Spika ajiandae sasa kutueleza matumizi ya fedha za umma alipokuwa mgonjwa India, ila pia akumbuke ile sheria ya kinga waliyojiwekea huenda ikafutiliwa mbali na akatueleza hizo fedha zilitumikaje

Kwa hiyo huenda yeye mwakani anapopasema pakawa panamuhusu yeye kuwajibika
 
Waislam wengi ni watu waungwana sana (though mimi sio Muslim). Kwenye hotuba ya Speaker wa baraza la wawakilishi na yule mbunge (mwislam) aliyeenda kusoma dua wamemeombea Hayati Magufuli msamaha kwa kuwa wanatambua kuwa Magufuli alikuwa binadamu hivyo kuna watu aliwakosea. Hawa wa kwetu wameanza kuita wenzao manyani. Inasikitisha sana.
nyani ni nyani tu hata umvishe suti.
 
Nyani ni ccm wenzake maana hakuna mpinzani kwenye serekali!!
Angalizo kwake Wahenga wanasema Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto!
Anafikiri ile nguvu aliyokuwa amepewa akiwa ni KIBARAKA wa huyo MKULIMA, ataendelea kuwa nayo!
 
Utende wema ama usitende wema mwisho wote ni mauti.
Kuna sababu nyingi sana za kutenda wema hata kama mwisho wake ni mauti. Bila wema dunia haikaliki. Promote wema.
 
Waislam wengi ni watu waungwana sana (though mimi sio Muslim). Kwenye hotuba ya Speaker wa baraza la wawakilishi na yule mbunge (mwislam) aliyeenda kusoma dua wamemeombea Hayati Magufuli msamaha kwa kuwa wanatambua kuwa Magufuli alikuwa binadamu hivyo kuna watu aliwakosea. Hawa wa kwetu wameanza kuita wenzao manyani. Inasikitisha sana.
Mmhhhh
 
Back
Top Bottom