Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Akumbuke kuwa binadamu nasi tupo koo moja ya nyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakala kwa Chalamila,ndugai, bashite,musiba,sabaya,Afande sele, waitara,Kessy, nkamia,sanga,waunga juhudi, watoto wa dada na wanufaika wote.Ohh masikini wajane.
Bwashee usishangilie mwakani hakuna mahindi
Nyani wengi wapo hapa JFHii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo mkulima wa mahindi alikuwa anamiliki bunduki, nyani akikatiza tu risasi kwa mwili wa nyani unategemea nyani wasifurahi kweli?Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana vyama!
Mjinga tu huyo.. alikuwa anategemea amuongezee jamaa yake muda wa kutawala Mungu akamfyekelea mbali. Sasa kwa ubaya aliomtendea Tundu Lissu kumfukuza kama mbwa na kumyima stahiki zake.. Karma inamfata yeye, sasa zamu yake na yeye..Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... akina mmawia!Nyani wengi wapo hapa JF
Nani ambae zamu yake haitafika?Naye zamu yake itafika ni muda tu!
Aliyetumia bajeti ya wizara kwa mwaka mzima kutibu gonjwa lake la kujitakia na wale walioambiwa hawatapelekewa maendeleo hadi wakome ni nani aliyeigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi ?Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana vyama!
Lugha anayotumia inatia ukakasi, wanazidi kupandikiza chuki halafu watunwakishangilia wanakasirikaKwan haoni wanyonge na masikini wakilia.