Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Wote wanaoleta mgawanyiko tunawaombea wanakufa. Hakuna mjadala Mungu anatujibu tu fasta
 
Wakrito wengi ni wanafki.
 
Kuna umuhimu kujua si watz wote waliofungiwa kwenye chupa au kibuyu, wengine waliwahi kukanyaga mafuta ya upako ndio maana vigumu kuwainamisha kama mnavyotaka anyway siku mtakapotoka kwenye chupa ndio utarudiwa na ufahamu wenu.
 
Muulizeni huyo NDUGAI huo mwakani yeye atakuwa wapi, sio kwenye nchi hii hii, ambayo mkulima amefariki ...... na kama atakuwepo, yeye mahindi atatoa wapi?.
 
Mjinga tu huyo.. alikuwa anategemea amuongezee jamaa yake muda wa kutawala Mungu akamfyekelea mbali. Sasa kwa ubaya aliomtendea Tundu Lissu kumfukuza kama mbwa na kumyima stahiki zake.. Karma inamfata yeye, sasa zamu yake na yeye..
Kila binadamu anamapungufu yake.
 
Kitu hasichojua Ndugai ni kwamba Nyani hawa wanaoshangilia wanauwezo wa Kulima na kujirisha,huyu mkulima aliyekufa aliwafanya wawe tegemezi,aliwatoza kodi za hovyo,wakati hawa Nyani,wao walitaka mkulima,awajengee Mazingira mazuri ya kufanya kilimo,Ili walime,wajirishe,na walipe kodi kwa mkulima.
Harafu kingine,mkulima akifa,anakuja mkulima mwingine,maisha yanaendelea
 
Nani alikuwa anafaidika na kifo cha dikteta?
 
Kwanza hii ni kauli ya dharau pia kwa Rais mpya.
 
Nyani wapo wengi, kuwataja wachache
1. Tundu lissu
2. Fatma karume
3. Binti wa sarungi
4. Zitto kabwe
5. Na genge lao lote na bavicha maji...
Nimecheka kwa nguvu, eti nyani watakosa chakula. Huo mfano wa Ndugai ni irrelevant kama anawalenga hawa wanaofurahia Magufuli kuondoka, kwani wao hawakuwahi kufaidika na utawala wa Magufuli.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiona hivyo ujue na yeye amekaribia kufa hataki watu washangilie akifa.ila ajue watashangilia tu
 
Hahahahaha mkuu bora ufanye kazi upate kipato kuliko kung'amua izi kauli za wana siasa
 
Hivi ni kweli Ndugai kasema wengine bila Magufuli wasingekuwepo Bungeni?
 


Nyani asiyeona kundule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…