Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.

Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni

Chanzo: Eatv Habari

Ramadhan Kareem!
 
Mzee mgaya amealikwa au atazamia
Akienda mwambie abebe na ndizi za kuiva
[emoji23][emoji23]

Ova
 
Iftar Bungeni Hiyo Alhamis Ya Kumi La Kwanza.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
 
Sina kumbukumbu sana,
Hili jambo lilifanyika kwa awamu ya 5?
Au ndo undava undava ilikuwa....
 
Nawaonea gere Wabunge kushiriki Iftar ya Mh Rais SSH. Kwa wasomaji wa Biblia mkumbuke kuhusu Baalam na punda aliyeongea.
 
Back
Top Bottom