Lyaka Mlima Jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2020
- 361
- 521
Gwajima ajiandae vipi?Hana jipya zaidi ya kuomba msamaha.
Ila Gwajima ajiandae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima ajiandae vipi?Hana jipya zaidi ya kuomba msamaha.
Ila Gwajima ajiandae
Aaaaaaa Ndugai katia aibu ya mwaka. Kalidharirisha bunge na kiti cha u-Spika. Legislature imeufyata kwa Executive 😆😆😆What a cuck ending,😂😂..
Kweli hayati alikua sahihi kusema kuna muhimili mmoja umejichimbia ndani na una ukubwa kidogo kuliko mengine...Yani kiongozi wa muhimili mmoja unaomba msamaha😂😂.hii ni walk of shame...basi Rais anafaa kuburuza hii nchi,,syllabus za masomo ya uraia zirejewe...
Hili la kuweka makumbusho ya bunge namuunga mkono. Tuweke kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kwamba tuliwahi kuwa na bunge la ovyo likiongozwa na Zuzu mmoja aitwaye Ndugai.Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
View attachment 2066990
View attachment 2067070
Pia soma;
Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Safari hii ataenda mwenyewe kuhojiwa na kamati ya maadili ya bunge,hata hivyo kanishangaza sana,namwona Kama anasoma chekechea.Anajiuzulu au anaita watu kwenye kikao cha kamati ya maadili ya bunge?
🖕🖕 sorry, ni Charles Montesquieu.Aaaaaaa Ndugai katia aibu ya mwaka. Kalidharirisha bunge na kiti cha u-Spika. Legislature imeufyata kwa Executive 😆😆😆
Naona Ndugai hakumsoma James Montsque aliekuja na dhana ya Seperation of Power and Checks and Balance kati ya; Bunge, Serikali na Mahakama.
Njaa mbaya sana 😆😆😆
Sawa tunasubiriView attachment 2066809
Unabii umetimiaHana jipya zaidi ya kuomba msamaha.
Ila Gwajima ajiandae
Mama akimsamehe atakuwa amefanya kasa kubwa mno. Ndungai ni nyoka mwenye sumu kali sana anayetafuta timing ya kung'ata
Tafuta mmoja mnyonge ummegee demu wake.Wananikomesha
Usijali lakini.
Naelewa ugumu wa kazi yao lakini naelewa raha ya merging button.
Utetezi wa chekechea kabisa,eti anaongoza bunge aibu.Walininukuu vibaya kwasababu mimi mgogo wa kongwa😀🤣😀
Makumbusho ya bunge ili wapige hela so ndio? Kwani so tuna Hansard zinatunza kila aina ya kumbukumbu hadi hoja za kila mbunge au pia wageni waalikwa?Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
View attachment 2066990
View attachment 2067070
Pia soma;
Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Kwani Ndugai kumfokea mama Samia kwa mchezo wake wa kukopa ovyo alikuwa amemkosea nani?Kwa Ndugai kuomba msamaha hadharani kwa matamshi aliyotoa dhidi ya Rais wa JMT, Rais Samia, ni wajibu wa watanzania kumsamehe.
Ndugai ana acute pride, na pride hiyo imetikiswa katika siku hizi mbili tatu.
Pengine alikuwa akijitayarisha kuwaita kwenye kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, lakini kwa muitikio wa hata idara za Chama, Ndugai najua alianza kuona ukubwa unaanza kuota mbawa.
Kwa kuomba msamaha, and eating the humble pie, Ndugai amejishusha na inabidi asamehewe.
Ndani ya CCM wana utaratibu wao wa kumaliza mambo.Na huyu Speaker Ndugai yawezakana wamemfanyia blackmail,waanajua madhambi yake ,na mishemishe zake.Mbona amechukua muda sana kuomba radhi?