Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Aaaaaaa Ndugai katia aibu ya mwaka. Kalidharirisha bunge na kiti cha u-Spika. Legislature imeufyata kwa Executive 😆😆😆

Naona Ndugai hakumsoma James Montsque aliekuja na dhana ya Seperation of Power and Checks and Balance kati ya; Bunge, Serikali na Mahakama.

Njaa mbaya sana 😆😆😆
 
Hili la kuweka makumbusho ya bunge namuunga mkono. Tuweke kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kwamba tuliwahi kuwa na bunge la ovyo likiongozwa na Zuzu mmoja aitwaye Ndugai.
 
Anajiuzulu au anaita watu kwenye kikao cha kamati ya maadili ya bunge?
Safari hii ataenda mwenyewe kuhojiwa na kamati ya maadili ya bunge,hata hivyo kanishangaza sana,namwona Kama anasoma chekechea.
 
Hivi muda wa kisheria "tenure" wa mtu kuwa spika ni vipindi vingapi. Tuna spika wa ajabu sana hii nchi.
 
🖕🖕 sorry, ni Charles Montesquieu.
 
Hahahha .muhimili umeuomba radhi muhimili!
Yaani unamuuliza mwalimu swali Afu kabla hajajibu unamuomba msamaha!!!!!
 
Mama akimsamehe atakuwa amefanya kasa kubwa mno. Ndungai ni nyoka mwenye sumu kali sana anayetafuta timing ya kung'ata

Ila ndugai si ndio kazi yake kufatilia serikali au[emoji23][emoji23][emoji12]
 
Makumbusho ya bunge ili wapige hela so ndio? Kwani so tuna Hansard zinatunza kila aina ya kumbukumbu hadi hoja za kila mbunge au pia wageni waalikwa?

Sasa kama ndio hivyo Hansard za nini? Jamaa ameshabuni mradi wa kupiga hela. Makumbusho ya Taifa yanaweza kutunza hizo kumbukumbu za Bunge pia hatuna haja ya kuqjiri librarians aunwatu wa archives wakati tuna Makumbusho ya Taifa.
 
Kwa Ndugai kuomba msamaha hadharani kwa matamshi aliyotoa dhidi ya Rais wa JMT, Rais Samia, ni wajibu wa watanzania kumsamehe.
Ndugai ana acute pride, na pride hiyo imetikiswa katika siku hizi mbili tatu.
Pengine alikuwa akijitayarisha kuwaita kwenye kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, lakini kwa muitikio wa hata idara za Chama, Ndugai najua alianza kuona ukubwa unaanza kuota mbawa.

Kwa kuomba msamaha, and eating the humble pie, Ndugai amejishusha na inabidi asamehewe.
 
Hamna kitu. Hamna la maana la kujadili.
Distractions za kishamba tu.
 
Kwani Ndugai kumfokea mama Samia kwa mchezo wake wa kukopa ovyo alikuwa amemkosea nani?
 
Mbona amechukua muda sana kuomba radhi?
Ndani ya CCM wana utaratibu wao wa kumaliza mambo.Na huyu Speaker Ndugai yawezakana wamemfanyia blackmail,waanajua madhambi yake ,na mishemishe zake.
Eti clip imekarabatiwa he failed to prove it.
Bora angenyamaza tu,kawatupa pembeni akina James Mbatia waliomuunga mkono kwa jazba wakidhani their reading on the same page.
Hapana chezea Queen Cleopatra aka SSH,mama wa shoka.
 
Namsaka Paw huyo ndo mnyonge wao.

Sasa kasheshe kumjua dem wake ni yupi.

Natangaza tenda atakayenipa clue[emoji56]
Kila la kheri. Mi na pledge kuchangia gharama za room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…