johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Tupo kwenye jumuiya ya madola!Ni vyema kuwepo na utaratibu wa kuchagua vya kuiga na visivyoigwa kwani chadema na upinzani wakitolea mfano chochote tokea ulaya America huitwa wametumwa na mabeberu lakini ccm wakitolea mifano ya wazungu wao hujiona wapo sawa tu
Unauliza katazo liko wapi?!Kwani sheria inaposema kuwa mbunge aapishwe kwenye bunge haijakataza kuapisha mbunge katika sehemu nyingine kama vile misikitini,makanisani,masokoni,e.t.c?Sasa katazo liko wapi?
Bunge ni pamoja na eneo lake lote!
Hata kenya wanaruhusu kupinga matokeo ya Urais mahakamani kama malawi na hata Afrika kusini wanaruhusu Rais aliyepo madaraka kuhojiwa na Bunge na hata kushitakiwa, katiba ya namna hii ikija Tanzania ndipo kutakuwa na Haki pasipo uonevu mkubwa uliopo sasa kwenye utawala wa akina Ndungai waliojiwekea kinga za kutoshitakiwaMfano, Uganda wanaruhusu mgombea binafsi. Mfano, Kenya wana tume huru. Mifano iko mingi. Tunahitaji katiba mpya, ndi jawabu.
ipo siku wataapishwa hata Guest houseKama ni kweli sawa... mgonjwa kuapishiwa sipitali makes a load of sense.
Sasa.... hawa COVID-19 walivyoapishiwa gereji ina maana wao ni magari mikangafu?
Chooni kabisa!ipo siku wataapishwa hata Guest house
Yeye huapishwa ndani ya Bunge lakini wengine anataka popote hata gengeni hajali chochote ili mradi atimize lengo lake pasipo kujali Athari zakeSpika wa bunge anaapishiwa wapi?
Kwa nini unatoka nje ya mada?Sisi mada yetu inahusu speaker kuapisha wabunge na wala siyo speaker kuapishwa.Ishu ya speaker kuapishwa ni tofauti kabisa wala haina uhusiano wowote na wabunge kuapishwa na inasimamiwa na sheria nyingine tofauti kabisa.Spika wa bunge anaapishiwa wapi?
Mungu hapendi uonevu wao ndiyo maana kawaumbua kwa style hiyo, mungu huwa na njiani nyingi za kuwaumbua maadui wa haki za watuHiyo ni exception inayotokana na dharura, but sio suala la gereji pale hapakuwa na ulazima wowote wa kuharakisha hilo jimbo, sioni ni kitu gani kinamshinda kuwela ratiba ya uapisho bungeni kwenye kikao cha bunge kitachofuata.
Tuko kwenye definition ya bunge bwashee.Kwa nini unatoka nje ya mada?Sisi mada yetu inahusu speaker kuapisha wabunge na wala siyo speaker kuapishwa.Ishu ya speaker kuapishwa ni tofauti kabisa wala haina uhusiano wowote na wabunge kuapishwa na inasimamiwa na sheria nyingine tofauti kabisa.
Huo ni mfano tu bwashee usilie lie!Kwani Tanzania na uingereza tunatumia katiba moja?!...linapokuja swala la utawala wa sheria tunaangalia uingereza wanafanyaje ili tuige au tunaangalia katiba yetu inasemaje?!...viongozi uchwara wanatusumbua sana
Kama suala ni kuiga Uingereza mbona hawaigi kuwa na mfalume na Serikali kuongozwa na waziri mkuu kisha Bunge kuwa na nguvu ya maamuzi sahihi Spika anayeheshimu taratibu na Sheria siyo kama Tanzania Spika anatumia mawazo yake binafsi na ushauri wa mkewe kuongoza Bunge.Kwani Tanzania na uingereza tunatumia katiba moja?!...linapokuja swala la utawala wa sheria tunaangalia uingereza wanafanyaje ili tuige au tunaangalia katiba yetu inasemaje?!...viongozi uchwara wanatusumbua sana
Umesoma na ile ya kiswahili?Ndugai hao wenzetu Waingereza Katiba yao haisemi take oath before the parliament. Tatizo wewe umetunga kanuni inayokinzana na sheria mama ( katiba). Chutama.
Definition ya bunge tayari nimeshaitoa hapo juuTuko kwenye definition ya bunge bwashee.