johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Fafanuzi za kisheria huenda na mifano mbalimbali bwashee!Kama suala ni kuiga Uingereza mbona hawaigi kuwa na mfalume na Serikali kuongozwa na waziri mkuu kisha Bunge kuwa na nguvu ya maamuzi sahihi Spika anayeheshimu taratibu na Sheria siyo kama Tanzania Spika anatumia mawazo yake binafsi na ushauri wa mkewe kuongoza Bunge.
Hapa ndipo kwenye mantiki ya hoja yako, lakini kuna baadhi hawajakuelewa.Wameapishwa kwa mujibu wa kanuni na wanaweza kutenguliwa kabla ya kuingia bungeni.
Ndio nikauliza kwa defition uliyotoa Spika anaapishiwa wapi?Definition ya bunge tayari nimeshaitoa hapo juu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]tatizo tukikiondoa tunaweka kipi?No. Maendeleo yana chama. Kwa miaka kadhaa Uturuki ilikuwa ikichukuliwa kama 'mtu mgonjwa wa Ulaya' kutokana na ubovu wa uchumi wake. Vyama kadhaa vimekuja vikaondoka lakini havikuweza kuuguza gonjwa gumu la kufanya uchumi wa Uturuki angalau ufanane hata na ule wa nchi maskini zaidi Ulaya (kabla ya Umoja wa Ulaya) Ureno...
Kwani katiba,kanuni na sheria zinasema aapishwe wapi?Ndio nikauliza kwa defition uliyotoa Spika anaapishiwa wapi?
Ndungai hutumia mifano ya kuhadithiwa tu bila takwimu wala uhakika wa hizo story, alishagundua hakuna cha kuwafanya hakuna wa kuthubutu kuwahoji chochote ndiyo maana huamua chochote kadri anavyojisikia ipo siku atamwapisha hata house girl wake na kuushangaza ulimwenguNdugai hao wenzetu Waingereza Katiba yao haisemi take oath before the parliament. Tatizo wewe umetunga kanuni inayokinzana na sheria mama ( katiba). Chutama.
Lakini mazingira ya hawa 19 hayakua na udharula kama hao waliokua hospitalized....... Hawa walikua kwenye mazingira ya uhuru wa ku organise uapishwaji katika taratibu za kawaida. Tena wako 19, angekua ni mmoja tungesema labda kulikua na mazingira ambayo hayawezi kuwekwa wazi.Mwaka 1972 Senator Joe Biden (Rais mteule wa USA) aliapishwa akiwa hospitalini akiwauguza watoto wake wawili walionusurika kwenye ajali mbaya ya gari iliyochukua maisha ya mke wake na binti yake mdogo! Suala la wapi mtu anaapishwa linategemea na mazingira kulingana na kanuni zilizopo.
Jumuia ya madola ni ruksa kupinga matokeo ya Urais mahakamani, vipi hilo Tanzania hairuhusiwi kuiga?Tupo kwenye jumuiya ya madola!
Na Polepole?Covid 19 wamejipeleka kihuni ndiyo maana na yeye Ndungai kawaapisha kienyeji kama wapo kwenye jando la ukeketaji
Tatizo la Ndungai na ccm kwa ujumla ni dharau kubwa waliowafanyia watanzania, wanawadharau wananchi kwa kiwango cha kutisha sana,Lakini mazingira ya hawa 19 hayakua na udharula kama hao waliokua hospitalized....... Hawa walikua kwenye mazingira ya uhuru wa ku organise uapishwaji katika taratibu za kawaida. Tena wako 19, angekua ni mmoja tungesema labda kulikua na mazingira ambayo hayawezi kuwekwa wazi.
Akaapishwe mnadani DodomaNa Polepole?
Mifano iendane na mazingira ya dharula siyo mifano isiyoendana na hali halisi kwani kulikuwa na dharula gani kwa covid 19 ?Fafanuzi za kisheria huenda na mifano mbalimbali bwashee!
Amesema wanatakiwa kuingia kwenye kamati za bunge na kuanza kazi!Lakini mazingira ya hawa 19 hayakua na udharula kama hao waliokua hospitalized....... Hawa walikua kwenye mazingira ya uhuru wa ku organise uapishwaji katika taratibu za kawaida. Tena wako 19, angekua ni mmoja tungesema labda kulikua na mazingira ambayo hayawezi kuwekwa wazi.
Bila kuapishwa wangeingiaje kwenye kamati za bunge?Mifano iendane na mazingira ya dharula siyo mifano isiyoendana na hali halisi kwani kulikuwa na dharula gani kwa covid 19 ?
Hujajua kwamba mtu akikosea hujaribu ku neutralize ili kosa la kwanza lisiwe kosa!!?Na Polepole?
Na hilo ndilo lengo kuu la sarakasi zao toka mwanzo. Kama umefuatilia threads na comments nyingi kwenye hili sakata, utakua umeona watu wakiliweka katika picha hiyo. Baada ya CCM kuharibu uchaguzi na kujikuta wako wenyewe Bungeni, wakakumbuka kwamba kuna kamati za fedha Bungeni ambazo zinatakiwa kuongozwa na wabunge wa upinzani, ndipo sarakasi hizi zikaanza hasa baada ya msimamo wa CDM kuonyesha hawako tayari kupeleka wabunge wa viti maalumu. Tena CCM waligeuka na kufurahi baada ya kuona kuna angalau hiyo fursa ya hao 19 wa viti maalumu wa CDM.Amesema wanatakiwa kuingia kwenye kamati za bunge na kuanza kazi!
kwamba wote ni viti maalumu kama wa kwetu hapaThink again. Ukijielimisha juu ya legacy ya mfumo wa Bunge letu, utatambua kuwa huku sio kuiga. Practices za mabunge ya nchi zote wanachama wa Jumuiya ya Madola zinashahibiana sana!
itapaa kwa wachumia tumbo kama Aikael na genge lake?No. Maendeleo yana chama. Kwa miaka kadhaa Uturuki ilikuwa ikichukuliwa kama 'mtu mgonjwa wa Ulaya' kutokana na ubovu wa uchumi wake. Vyama kadhaa vimekuja vikaondoka lakini havikuweza kuuguza gonjwa gumu la kufanya uchumi wa Uturuki angalau ufanane hata na ule wa nchi maskini zaidi Ulaya (kabla ya Umoja wa Ulaya) Ureno.
Fast Forward, kimekuja chama cha Adala (Justice) cha Prime Minister Rajab Orduwan....hivi sasa Uturuki ndiyo yenye uchumi imara zaidi Ulaya, kiasi Wazungu (kama kawaida yao) wanaanza kuiweka mizengwe na kuipiga vita.
Uturuki ndiyo yenye fleet kubwa zaidi ya ndege duniani, ina uwanja mkuu zaidi wa ndege duniani, inazalisha vitu viwandani zaidi kuliko nchi zote za Ulaya ukitoa Ujerumani! Nani anasema maendeleo hayana chama? Kitoeni hicho chama chenu kizee muone kama nchi haitapaa!