spika atulie dawa iingieHaya tiba nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
spika atulie dawa iingieHaya tiba nini?
Sisi tunaangalia nguvu ya hoja zake ya sasa hivi. Historia ya nyuma SI hoja. Jaribu kuchambua alichoongea kwa sasa. Hata kwa speaker tukiangalia ya nyuma yanatisha.Sina imani na wote wawili, Ndugai na Jenerali Ulimwengu.
Sina imani na Jenerali Ulimwengu hata kidogo tokea gazeti lake la Rai kwenye kampeni ya 2005 limchafue Salim Ahmed Salim na kumpamba JK na wengi walioshiriki walibarikiwa kupewa vyeo!!
BW Mkapa ile kampeni timu yake ya 1995 wale wengi wa karibu aliwatema live na hapo ndo bifu kuubwa mkapa alilopata toka kwa hao akina Jenerali na wenzie.
Kwa hiyo Jenerali hakutegemea kabisa kutoswa kivile mpaka akaanzisha makala kali za kuukosoa sana utawala wa BWM.
JK kuingia mwanzoni akaanza kumpamba, nanukuu ''Kwa mara ya kwanza tumepata kiongozi anayekemea rushwa kwa uwazi kabisa''. (maneno ya Jenerali hayo kwa JK)
Ghafla akagundua jamaa wala sio kama anavyofikiri. Hapo alitambua nguvu za akina Rostam Aziz dhidi ya JK na mtandao kwa ujumla ambao Jenerali hawakumu hitaji yeye, Salva, Shoo wakaparaganyika na RA kiulaini akainunua HCL na kuiweka chini yake huku Salva akielekea Ikulu, Shoo mtaani lakini akipata chapuo za kazi toka kwa RA kupitia Salva.
Wakati wa Mwendazake huyu Jenerali alikuwa baridi kama maji ya kwenye mtungi. Hakuthubutu kumkosoa wala kimsema kwani alijuwa kuwa anaweza kumpoteza kama walivyopotea akina Ben Saanane.
Tunaposhabikia hii vuta nikuvute ya Jenerali tujuwe tuna deal na mtu anayependa kujifanya ana akili sana na ni mjuwaji wa kuweza kumuamrisha hata Rais afanye anavyotaka yeye
Mnataka taifa la wakaa kimya ama siyo????Kupiga picha na viongozi mbalimbali haikupi mamlaka ya kuropoka hivyo,ndio maana mkapa alimnyang'anya uraia amshukuru jaji waryoba kumsaidia,na wakati wa magu,alimpigia simu kumuonya asiropoke,jamaa kafikisika kabisa anategemea mkewe kwa kika kitu, sasa ndio anaropoka hovyo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ameharibu credibility yake mwenyewe kwa kuingia na kulamba viatu vya magufuli anawalaumu watu wenginespika atulie dawa iingie
Si raia kwa kigezo kipi?Jenerali ulimwengu sio mtanzania , Mimi simkubali Bora kina lissu na mbowe wakosoe maana ni wenzetu, jenerali anatumika na kagame
Ameiwakilisha nchi katika/ameifanyia nchi mambo mengi ambayo ukiwa serious kuperuzi utayafahamu kwani inaonekana enzi yuko active serikalini haukuwa na ufahamu.Kwa hiyo kwa hizi picha Ulimwengu amefanya kipi cha ziada katika kuitumikia nchi yetu?
Wanatamani taifa liwe tu na watu wa kusifia kila kitu na kuimba mapambio kwa watawala, hawataki kabisa kukosolewa au watu kutoa mawazo yao kama yatakuwa yanakinzana na mitazamo watakayo watawala.Tuna kazi kubwa ya kuwaondoa akina Ndugai na mifumo yao la sivyo nchi hii hali itakuwa mbaya zaidi.
DuuJenerali ulimwengu sio mtanzania , Mimi simkubali Bora kina lissu na mbowe wakosoe maana ni wenzetu, jenerali anatumika na kagame
Alinyanganywa uraia baada ya kufichua uwizi WA rafiki yake MKAPA. ULIMWENGU NI MTU MAKINI.mwweedi na anajitanbua KULIKO Ndungai. Ndungai anajimwambafai kwenye kiti cha kuchaguliwa,HAJUI kesho kwenye kiti hicho atakuwa hayupo. Amuulize Polepole,Leo sio mwenezi tena WA CCM. Amuulize Makonda sio mkuu WA mkoa tena. Amuulize huyo uliye SEMA alimpora URAIYA,Yuko wapi na yako wapi aliyojitapia. Kuwa MAKINI.Kupiga picha na viongozi mbalimbali haikupi mamlaka ya kuropoka hivyo,ndio maana mkapa alimnyang'anya uraia amshukuru jaji waryoba kumsaidia,na wakati wa magu,alimpigia simu kumuonya asiropoke,jamaa kafikisika kabisa anategemea mkewe kwa kika kitu, sasa ndio anaropoka hovyo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ndugai anajua nini mbele ya Ulimwengu? Ndugai ameshiriki wapi katika harakati za ukombozi wa nchi yoyote Afrika? Ndugai ameshiriki katika movement gani zinazohusu maendeleo nchi yoyote barani Afrika?Tatizo lao wamekutana wote ni wajuaji!
Huyo Mgogo anajua nini? au kula Viwavijeshi pia ni ujuaji?.Tatizo lao wamekutana wote ni wajuaji!
Tuletee na wewe picha za Baba yako aliyopiga na hao miamba wa Aftika. Ndugai kwa Ulimwengu usiwaze kbs.Kwa hiyo kwa hizi picha Ulimwengu amefanya kipi cha ziada katika kuitumikia nchi yetu?
Kuna mtu kasomea kuongoza wanyama lakini leo anaongoza binadamuHaya tiba nini?
Unaweza kutuambia kuwa ameropoka nini?Kupiga picha na viongozi mbalimbali haikupi mamlaka ya kuropoka hivyo,ndio maana mkapa alimnyang'anya uraia amshukuru jaji waryoba kumsaidia,na wakati wa magu,alimpigia simu kumuonya asiropoke,jamaa kafikisika kabisa anategemea mkewe kwa kika kitu, sasa ndio anaropoka hovyo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kupiga picha na miamba ndiyo kuwa na wewe umekuwa mwamba?Tuletee na wewe picha za Baba yako aliyopiga na hao miamba wa Aftika. Ndugai kwa Ulimwengu usiwaze kbs.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app