Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

Naunga mkono saa mbovu imepatia ukweli.

Vijana kumbaf Sana
 
Wanaiga kwa baba zao!!! Baba zao kwa vile ni wezi wanaona kuiba ni jambo la kawaida tu; hawajui kuwa tabia hiyo inaweza kuharibu maisha yao huko mbele!
Vijana wa kongwa wameona isiwe tabu
 
Spika wa bunge Tanzania analalamika namna tatizo la wizi limekidhiri Tanzania mpaka yule asiyeiba anaonwa mjinga, ukiwekeza supermaket wanakufilisi ndani ya miaka mitatu, ni tatizo sugu na limekosa utatuzi.
Ameongea kwa huruma sana kama aliyekata tamaa kwa namna wote wamekua majizi.


Vijana mjitathmini, pengine ndiyo maana hamuajiriki pamoja na digrii zenu. Mtasota sana mitaani. Tutaendelea kuajiri wazee na vijana kutoka nchi jirani kwa kuwa wao ni waaminifu. Jambo hili la uaminifu kwa vijana wetu si jambo dogo maana limesemwa bungeni na sisi waajiri na wawekezaji tumelichukua na tutalifanyia kazi. Polenii vijana!!
 
Hata yeye mwenyewe haaminikitu unafiki ndo umemjaa mwili mzima, afu hana busara kwanza,,, yeye ndo wa kuupigia debe mradi wa bandari huko bagamoyo kweli!! Mrad umiza kwa nchi hii??

Ana uzalendo gan sasa!!
 
Panya lenyewe pia ni gonjwa la HIV/AIDS. Limevimba mashavu sababu ya ARVs. Ni suala la muda, atamfuata aliyetangulia kwa corona.
Mkuu unajisikiaje nafsini kwako kwa hiki ulichokiandika?

Haijalishi upo nyuma ya key board kwa Id feki ila ndani kwako wewe ni binadamu tu na una dhamira(consciousness).

Hivi ulishajiuliza kwanini kuna watu ni wagonjwa ila madaktari kwa vipimo vyao hawaoni anaumwa mini? Roho mbaya, kuhukumu, visasi na chuki vinaongoza kuwalaza watu kama wewe kitandani!Ifike hatua Kazi ya kuhukumu tumuachie Mungu!

Nisamehe Sana kama nimekukwaza!
 
Angeongelea uaminifu/integrity katika nyanja zote na si kupiga pesa tu tatizo ambalo si la vijana pekee. Vipi kuhusu usimamizi wa haki na sheria? Utii wa katiba kama kuwaacha wabunge wasio na chama bungeni nk. Nafikiri kama taifa tuna tatizo katika integrity na ndiyo maana kumekuwa na hoja ya kuwa labda tuanze na kupata katiba mpya ili tupange mambo yetu kwa upya.
 
Ndugai mwenyewe hajawahi kuaminika maishani mwake.
Unafiki ni dhambi moja mbaya kabisa duniani na hii ndio tabia yake.
 
Again sio shabiki wa Ndugai lakini kwa hili yuko spot on. Ni ukweli mtupu biashara zetu za kibongo zinahitaji nguvu nyingi saaana ya kuzuia usiibiwe na walewale wanaokufanyia kazi. Anayebisha hili basi hafanyi biashara na watanzania wa nchi hii.
 
Hivi yale mashavu kuumuka vile ni afya au ni side effects za mashudu?
 
Mwizi anapoibiwa
Ndugai kapigwa kwenye vimiradi vyake vya kituo cha mafuta alivyo vipata kwa kuibia serikali
Anaenda kulia bungeni
Hii imekaa aliyeuza mkufu bandia kapewa noti bandia ngoma droo
 
Atueleze bilioni 30 alizutumiaje kwenye matibabu?

Duuu Hilo tuuu aape kwa Bibilia Kama Ushindi wake wa ubunge sio wa kuiba?
Kama ndio hata kama hajafanya yeye lakini ndio nafasi aliopo imetokana na...
Mambo huanzia nyumbani!
Watu wanataka uthibitisho tuu baaasi!
Aache Maneno mengi...ya Kulalamikia Vijana wezi wakati wanaiga chama chake?
 
Hili jamaa linaongeaga uji.nga mwingi ila kwa hapa kasema ukweli 1000%. Vijana wa kibongo ukifanya nao kazi basi ujue na wew una kazi ya kuwazibit wasikwibe
 
Nakubaliana na Spika Ndugai kwamba asilimia kubwa ya vijana siyo waaminifu tena ni wezi.

Kama unabisha nenda makao makuu ya uvccm pale Morogoro road jirani na Lumumba halafu ulizia umiliki wa hilo jengo sasa ukoje, Watakusimulia!

Ramadhan Kareem!
 
Pamoja na kuwa Ndugai sio mtu ninayempenda lakini katika hili ni ukweli na siku zote ukweli unauma. Vijana wengi hawapewi nafasi nyeti kwa kuwa tabia ya kukosa uaminifu sitaki ktumia wizi ni uaminifu na hapa sio wote ila ni majority. Haya nayo ushuhuda, simpendi speaker ila kaongea ukweli japo unauma.
 
Back
Top Bottom