Elewa maudhui nduguMaajabu hayaishi Tanzania!
Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo CHADEMA imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani?
Sasa tunapomsikia tena Ndugai akidai kuwa wabunge Wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo, watakuwa wamejifukuzisha ubunge, je anawaongelea wabunge wapi hapo?
Unaota ki hutuSpika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.
Spika Ndugai amesema mkutano wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya CHADEMA.
Isipokuwa ccm kuiba kura kuchezea makalio.CHADEMA wanatuchezea akili tu.
Side effects za nanihino zinamsumbua.Maajabu hayaishi Tanzania!
Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo CHADEMA imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani?
Sasa tunapomsikia tena Ndugai akidai kuwa wabunge Wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo, watakuwa wamejifukuzisha ubunge, je anawaongelea wabunge wapi hapo?
Kwa Sasa sitaki kuona wanalaumiwa ccm kwa kweli maana wamepigiwa kura za kutosha na watanzania walewale,kilichobaki WAITISHE UCHAGUZI MPYA NA HURU ILI WAWAFUNGE MDOMO WA KUWASINGIZIA,Hilo haliwezekani kwa sasa.UN huwa wanaingilia wakiona mnapigana. Sasa hata kuandamana mmeogopa. Hivyo kuzila kupeleka wabunge haitawasaidia sana sana itawapoteza tu.
Hata nyie mngekuwa madarakani mngeiba piaIsipokuwa ccm kuiba kura kuchezea makalio.
Watu ambao sio wabunge coz hawajaapa kuwa wabunge sasa wanajifukuzishaje ubunge ambao kimsingi hawana?Watu wasiokuwepo wanakuwaje wamejifukuzisha?
Lazima wapeleke sema wanaleta zile sitaki natakaSubiri uone kina Mdee na Bulaya wakienda kuapa ndio utajua hujui.
CHADEMA wanatuchezea akili tu.
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.
Spika Ndugai amesema mkutano wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya CHADEMA.
Zamu yangu huenda ipo karibuMbona wewe hujafa? Ikiwa wanauawa hovyo bila sababu
Even for youThis will never help you.