Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Maajabu hayaishi Tanzania!

Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo CHADEMA imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani?

Sasa tunapomsikia tena Ndugai akidai kuwa wabunge Wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo, watakuwa wamejifukuzisha ubunge, je anawaongelea wabunge wapi hapo?
Elewa maudhui ndugu
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

Spika Ndugai amesema mkutano wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili.

My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya CHADEMA.
Unaota ki hutu
 
Side effects za nanihino zinamsumbua.
 
Hilo haliwezekani kwa sasa.UN huwa wanaingilia wakiona mnapigana. Sasa hata kuandamana mmeogopa. Hivyo kuzila kupeleka wabunge haitawasaidia sana sana itawapoteza tu.
Kwa Sasa sitaki kuona wanalaumiwa ccm kwa kweli maana wamepigiwa kura za kutosha na watanzania walewale,kilichobaki WAITISHE UCHAGUZI MPYA NA HURU ILI WAWAFUNGE MDOMO WA KUWASINGIZIA,
 
Huyu Mzee vipi, hivyo viti wape CCM wako!!
Yaani umekula msosi wote sasa unacheua afu unataka CDM wakombeleze vyombo ulivyolia?
 
Mbona ndugai anaonekana ana madaraka makubwa kuliko hata huo uspika Nini kipo nyuma yake huyu jamaa?
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

Spika Ndugai amesema mkutano wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili.

My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya CHADEMA.

Nchi imekuwa kichekesho wanatafuta mademu tu wa upinzani . Waafrica wengi tunajitakia umasikini wenyewe kwa ubinafsi
 
Kadiri muda unavyo kwenda nimegundua wapinzani ni kama tumeishiwa mbinu sasa tumebaki kulia lia mitandaoni

Nasikitika sana tulishindwa kwenda barabarani kuwaunga mkono kwa maandamano tukabaki mashujaa kwenye keyboard

Hivi viti maalumu vitazidi kutuvuruga na kutugawanya sana
Hizi sheria tunazo jaribu kumkosoa nazo spika hazina tija kabisa.....ndugai ni bingwa wa kufinyanga sheria kuhakikisha anakipendelea chama chake

Pelekeni wabunge mjengoni huku mapambano yana3ndelea
 
Daah hiyo extension mbona ndefusana.

Inamfanya mtu kufikiria marambili faida na hasara.

Mill zaidi ya mia 6 jamani sio mchezo hatakama nimimi ningeenda kwanza alafu ningeombasamaha next season.
 
Back
Top Bottom