Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

CCM bhana wameleta spika zilezile mbovu kabisa, bora tulia
 
Mishahara watakuwa wanalipwa Hadi watakapojifukuzisha April 2021?
Watalipwaje wakati hawajaapishwa?! Hao ni wabunge wateule tu...wasipoonekana bungeni mpaka wakati huo watakuwa wamejiondoa wenyewe...
 
Kama wore wameweza kupotezwa hao itashindikana nini,ili hats uhuru kamili upatikane?
 
Anajifukuzaje mtu ambaye hayupo wala hajateuliwa? Ndugai angesema tu mbunge yeyote mteule ambaye atakuwa hajaapishwa by end of November, asiende tena Bungeni na aendelee tu na mishe zake

Hii haitokuwa mara ya kwanza kwenda kinyume na Katiba na Kanuni za Bunge. Afterall, CHADEMA hawavitaki hivyo viti 19, presumably!😊

Sijui Aida keshafukuzwa uanachama? Siasa hizi zina wenyewe.
 
Hawa wazee hawashindwi kuwa na mungu wao[emoji3]
 
Pelekeni hao wabunge endapo mnaona wanaenda kufaidi basi mpelekeni Mbowe
 
Hakuna haja kushiriki ushenzi wa awamu hii.
 
Duuuh hatari sana

Vipi wabunge wa CCM walisemaje ndioooooooooooo au walishabgilia tu baada ya kaka mkubwa kuongea.
 
Watalipwaje wakati hawajaapishwa?! Hao ni wabunge wateule tu...wasipoonekana bungeni mpaka wakati huo watakuwa wamejiondoa wenyewe...
Mtu hajajisajili na hajahapishwa kuwa mbunge anachukuliwa vipi hatua na kanuni za bunge ambazo kwenye sehemu ya adhabu zinamhusu Mbunge na wala sio mbunge mteule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…