afisakipenyo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2020
- 445
- 777
viti maalum bado chadema hawajapeleka majinaKuna wabunge wa CHADEMA ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
viti maalum bado chadema hawajapeleka majinaKuna wabunge wa CHADEMA ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Wabunge wa viti maalumMaajabu hayaishi Tanzania!
Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo CHADEMA imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani?
Sasa tunapomsikia tena Ndugai akidai kuwa wabunge Wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo, watakuwa wamejifukuzisha ubunge, je anawaongelea wabunge wapi hapo?
Mbona ndugai anaonekana ana madaraka makubwa kuliko hata huo uspika Nini kipo nyuma yake huyu jamaa?
InawezekanaUnataka kusema anatumika?
Aliwaapisha vipi mkuu?Kuna wabunge wa CHADEMA ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Wanawachezea akili kivipi!? Au nyie ndiyo mnawachezea akili? Kwa nini muwatake washiriki siasa za kikora? Anyway,wanaweza wakashiriki tu maana utashi wa kisiasa wanao wao. Kwa mkhtadha uliotokea kwenye uchaguzi mpaka wakawafanya wasishiriki bungeni wanazo hoja za kuamua uamuzi huo.CHADEMA wanatuchezea akili tu.
Nani angepeperusha ndiyo angeshinda? Chama kinaangushwa na hao wababe wanaotumia nguvu za dola kusalia madarakani kwa kufanya uchaguzi wenye ghilibaMtachukua tu hizo nafasi, aliyekuwa anazuia kesha lala mbele,
Mbowe anataka pesa kisha azire kwa lipi?
Mwenzake keshaenda kula maisha bila kazi, na mbweadanganyike aone cha mtema kuni.
Hata akina mdee kukaa nje ya bunge ndo kwa heri hiyo.
Nyie washabai humu JF ndo mmesaidia kuangusha chama baada ya kulazimisha Tundu Lisu kupeperusha bendera.
Kuna magazeti fulani ya dini hutoka mara moja kwa wiki,haya magazeti kumbe ni ya propaganda tu wala hayafuati misingi ya dini na imani yanayojinasibu nayo.Yamekuwa yakiandika maudhui ya kisiasa tu,hasa siasa za upande wa chama tawala.Viongozi wa dini wamefunga ndoa na tawala dhalimu
Ni bora nyarandu angepata hata wabunge 5 kuliko huyo msaniiNani angepeperusha ndiyo angeshinda? Chama kinaangushwa na hao wababe wanaotumia nguvu za dola kusalia madarakani kwa kufanya uchaguzi wenye ghiliba
Kikifa wewe utakuwa na hasara ngani na wakati lengo kuu la CCM ni kuiua Chadema? kwanini hamshangilii sasa?Wasipopeleka hao wabunge 19 na Chama kitakufa kweli. Maana huku nje hawana pa kusemea. Walau hao 19 wakaseme huko Bungeni.
Lengo lenu ni kuu upinzani na kweli umekufa, why mnataka tena kuwe na wabunge wa Chadema?Ni bora nyarandu angepata hata wabunge 5 kuliko huyo msanii
Majigambo yenu yameisha mmerudia kulalamika tena miaka mitano.Lengo lenu ni kuu upinzani na kweli umekufa, why mnataka tena kuwe na wabunge wa Chadema?
Simfurahie upinzani umekufa, mbona mnalalamika tena? shame on youMa
Majigambo yenu yameisha mmerudia kulalamika tena miaka mitano.
Badilisheni sera za vyama vyenu ili viwe taasisi ya kuaminika.