Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wapi hao?
Majigambo yenu yameisha mmerudia kulalamika tena miaka mitano.Lengo lenu ni kuu upinzani na kweli umekufa, why mnataka tena kuwe na wabunge wa Chadema?
Kwa sasa una matumaini gani sasa, maana machepele wenu kakimbia ulaya ili akazuie misaada wakati watoto wake na yeye wanakula vizuri pesa ya beberu huku nyie mkiteseka TZ?Simfurahie upinzani umekufa, mbona mnalalamika tena? shame on you
Huwa wanashindwa kubadilisha magoli katika ya mechi hao?Wabunge hao wamepatikanaje,maana Chadema ina Mbunge mmoja na CUF ina Mmoja,mbona CUF hawana viti maalum?
wenyewe wanajijua kamanda.Wabunge wapi hao?
Wanawachezea akili kivipi!? Au nyie ndiyo mnawachezea akili? Kwa nini muwatake washiriki siasa za kikora? Anyway,wanaweza wakashiriki tu maana utashi wa kisiasa wanao wao. Kwa mkhtadha uliotokea kwenye uchaguzi mpaka wakawafanya wasishiriki bungeni wanazo hoja za kuamua uamuzi huo.
Boss hiyo ni nafasi ya kisheria,Its funny He think linaweza fukuza watu ambao hawapo,hawajachaguliwa yet?
huko Zanzibar idadi ya waliouwa inatisha,majeruhi wanatisha. Siku yalipotangazwa maandamano yasiyo na kikomo vikosi vikiwa na silaha za moto vilitanda mitaani. Mnataka wauwawe zaidi ya hawa?Naomba ujiulize maswali haya
1. Kama chadema imeibiwa kura why wanainchi wako kimya na wameridhika na hao waliochaguliwa?
hayo ni maneno yako sio ya Spika. spika amesoma kanuni inayozuia mbunge kutohudhuria mikutano mitatu bila taarifaBoss hiyo ni nafasi ya kisheria,
Alichomaanisha spika ni kuwa hizo nafasi za viti maalum zitapotea after mikutano mitatu ya bunge
Nakusaidia kudadavua kwa lugha nyepesi,hayo ni maneno yako sio ya Spika. spika amesoma kanuni inayozuia mbunge kutohudhuria mikutano mitatu bila taarifa
Jana viongozi wa ACT, na Chadema, walikuwepo ukumbini zanzibar wakati Rais mwinyi anafungua barazahuko Zanzibar idadi ya waliouwa inatisha,majeruhi wanatisha. Siku yalipotangazwa maandamano yasiyo na kikomo vikosi vikiwa na silaha za moto vilitanda mitaani. Mnataka wauwawe zaidi ya hawa?
Balozi wa nchi za Ulaya nchini Kenya, Simon Mordue atakutana na aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini nchini Tanzania Godbless Lema siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2020 jijini Nairobi.Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe...
Balozi wa nchi za Ulaya nchini Kenya, Simon Mordue atakutana na aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini nchini Tanzania Godbless Lema siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2020 jijini Nairobi.
jukwa gani tena wakati bungeni ni hitimisho tu? majukwa ya kisiasa yapo zaidi nje ya bungeNaomba ujiulize maswali haya
1. Kama chadema imeibiwa kura why wanainchi wako kimya na wameridhika na hao waliochaguliwa?...
Kama huko wameamua washiriki wamefanya vyema maana siasa ndivyo zilivyo,hata huku bara inawezekanaJana viongozi wa ACT, na Chadema, walikuwepo ukumbini zanzibar wakati Rais mwinyi anafungua baraza
Unajua maana yake ni nn?
Huko nje si ndio miaka mitano tumekaa kimya? Au umesahaujukwa gani tena wakati bungeni ni hitimisho tu? majukwa ya kisiasa yapo zaidi nje ya bunge