Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Wabunge hao wamepatikanaje,maana Chadema ina Mbunge mmoja na CUF ina Mmoja,mbona CUF hawana viti maalum?
 
Ma
Lengo lenu ni kuu upinzani na kweli umekufa, why mnataka tena kuwe na wabunge wa Chadema?
Majigambo yenu yameisha mmerudia kulalamika tena miaka mitano.
Badilisheni sera za vyama vyenu ili viwe taasisi ya kuaminika.
Simfurahie upinzani umekufa, mbona mnalalamika tena? shame on you
Kwa sasa una matumaini gani sasa, maana machepele wenu kakimbia ulaya ili akazuie misaada wakati watoto wake na yeye wanakula vizuri pesa ya beberu huku nyie mkiteseka TZ?
Mbowe kakaa kimya kwa aibu mliyomlazimisha kumpitisha Lisu.
Mmebaki mna bwabwaja tu mbowe ana wacheki tu kisha anasonya na kumimina faru john.
 
Wabunge hao wamepatikanaje,maana Chadema ina Mbunge mmoja na CUF ina Mmoja,mbona CUF hawana viti maalum?
Huwa wanashindwa kubadilisha magoli katika ya mechi hao?

Hizo ndiyo kazi spesheli za akina "werema" mzee wa "tumbili."
 
Wanawachezea akili kivipi!? Au nyie ndiyo mnawachezea akili? Kwa nini muwatake washiriki siasa za kikora? Anyway,wanaweza wakashiriki tu maana utashi wa kisiasa wanao wao. Kwa mkhtadha uliotokea kwenye uchaguzi mpaka wakawafanya wasishiriki bungeni wanazo hoja za kuamua uamuzi huo.

Naomba ujiulize maswali haya

1. Kama chadema imeibiwa kura why wanainchi wako kimya na wameridhika na hao waliochaguliwa?

2. Miaka mitano iliyopita mambo mengi yasio ya kawaida yamefanyika na chadema waligoma/kususa je Kuna kitu chochote kilibadilika?

3. Kugoma kupeleka wabunge viti maalum hauoni kuwa chadema watakuwa wamekosa platform ya wao kuongea kwa miaka yote mitano?
 
Its funny He think linaweza fukuza watu ambao hawapo,hawajachaguliwa yet?
Boss hiyo ni nafasi ya kisheria,
Alichomaanisha spika ni kuwa hizo nafasi za viti maalum zitapotea after mikutano mitatu ya bunge
 
Naomba ujiulize maswali haya

1. Kama chadema imeibiwa kura why wanainchi wako kimya na wameridhika na hao waliochaguliwa?
huko Zanzibar idadi ya waliouwa inatisha,majeruhi wanatisha. Siku yalipotangazwa maandamano yasiyo na kikomo vikosi vikiwa na silaha za moto vilitanda mitaani. Mnataka wauwawe zaidi ya hawa?
 
Boss hiyo ni nafasi ya kisheria,
Alichomaanisha spika ni kuwa hizo nafasi za viti maalum zitapotea after mikutano mitatu ya bunge
hayo ni maneno yako sio ya Spika. spika amesoma kanuni inayozuia mbunge kutohudhuria mikutano mitatu bila taarifa
 
hayo ni maneno yako sio ya Spika. spika amesoma kanuni inayozuia mbunge kutohudhuria mikutano mitatu bila taarifa
Nakusaidia kudadavua kwa lugha nyepesi,

Hizo nafasi ni tayari zipo, ni Tayari wabunge bado kuapa tu, ndio maana bunge linasubiri majina

After mikutano mitatu hizo nafasi zitakuwa zimepotea na chadema inafutwa
 
huko Zanzibar idadi ya waliouwa inatisha,majeruhi wanatisha. Siku yalipotangazwa maandamano yasiyo na kikomo vikosi vikiwa na silaha za moto vilitanda mitaani. Mnataka wauwawe zaidi ya hawa?
Jana viongozi wa ACT, na Chadema, walikuwepo ukumbini zanzibar wakati Rais mwinyi anafungua baraza

Unajua maana yake ni nn?
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe...
Balozi wa nchi za Ulaya nchini Kenya, Simon Mordue atakutana na aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini nchini Tanzania Godbless Lema siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2020 jijini Nairobi.
 
Balozi wa nchi za Ulaya nchini Kenya, Simon Mordue atakutana na aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini nchini Tanzania Godbless Lema siku ya Ijumaa tarehe 13/11/2020 jijini Nairobi.

Hawana hadhari zozote kwa serikali ya Tanzania

Hao wakina Lema wametafuta tu njia ya kutaka kusikika kwa Aina nyingine

Me sidhan kama serikali Inaweza kuwa na muda wa kutaka kumuaa lema
 
Wonders will never cease in Tanzania! Ndugai, where is your brain for heavens sake?
Hivyo viti waongezeeni CCM mzidi kuwa wengiii!!
 
Jana viongozi wa ACT, na Chadema, walikuwepo ukumbini zanzibar wakati Rais mwinyi anafungua baraza

Unajua maana yake ni nn?
Kama huko wameamua washiriki wamefanya vyema maana siasa ndivyo zilivyo,hata huku bara inawezekana
 
Back
Top Bottom