johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Si unakumbuka bunge lilifunguliwa bila kambi rasmi ya upinzani kuwepo bungeni nadhani Spika Ndugai anaogopa historia kujirudia ukizingatia watakuwepo mabalozi wa nchi mbalimbali!..I thought so too.
..kwamba huu utoto haumuathiri Spika.
..unawaathiri zaidi cdm.
..sasa kwanini Spika anasumbuka nao kiasi cha kuwa kama amechanganyikiwa?
Mimi ni mwanaccm tena senior kabisa. Lakini matendo ya huyu bwana Ndugai katika hizi siku za karibuni yanatufedhehesha sana.Spika Ndugai amesema wabunge waliopo bungeni mahesabu yao yatarekebishwa!
..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?
..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.
..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?
..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
Lipeni Madeni acheni ujanja ujanjaCCM mpake ikate roho,tutaona mengi ya kustajabisha na kushangaza!!
Huyu SUPIKA amekuaje? Mbona amechanganyikiwa namna hii? Anatumia dawa gani za kukabiliana na UKIMWI wake wa muda mrefu? Labda tatizo limeanzia hapo.Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Upande wa ccm anadai atabalance mahesabu ili wasiondoke mikono mitupu...hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?
..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.
..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?
..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
Kama ni kweli basi nae kaishiwaMzee Mgaya anasema katika hili Spika Ndugai ameshika mpini na watoro wameshika makali!
Rais wa wanyonge yupo wapi? Kawatelekeza wanyonge wake au?Then unasikia wapinzani wanaleta siasa kipindi hiki Cha kolona😂😂😂😂awamu ya tano.....hamna vya maana vya kuzungumza muwasaidie wananchi wanaoteseka na umaskini na magonjwa?mnaongea ujinga tu
Siasa ni sayansi bwashee!Upande wa ccm anadai atabalance mahesabu ili wasiondoke mikono mitupu.
Huyu jamaa wadudu wamehamia ubongoni,soon atakuwa chizi kabisa
Mwanaume wa kweli lazima adaiwe. Hii subwoofer imekaribia kupasuka
Sayansi au hii ya speaker ni utopolo tuSiasa ni sayansi bwashee!
Unataka waweweseke kama wale wanaojadili kupima mapapai na mafenesi huku wamejificha kwao?Then unasikia wapinzani wanaleta siasa kipindi hiki Cha kolona😂😂😂😂awamu ya tano.....hamna vya maana vya kuzungumza muwasaidie wananchi wanaoteseka na umaskini na magonjwa?mnaongea ujinga tu
Bwashee KUB ameshaomba poo huko Dodoma!Sayansi au hii ya speaker ni utopolo tu
Kwa hiyo anamaanisha wabunge wanaohudhuria bungeni baadhi ya madeni yao yatalipwa na serikali..Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
" Yatarekebishwa"Kwa hiyo anamaanisha wabunge wanaohudhuria bungeni baadhi ya madeni yao yatalipwa na serikali..
Madeni yanafunga siku hizi? Hiki chama cha "Green View" kimekuwa uchwara mpaka basi.Kuna hatari wabunge kuozea jela kwa madeni
Aliesama ayo nae anajiona ana akili sana..Juzi tu apa Mr.Rais ameomba nchi wahisani na mashirika kuzisamehe nchi maskini madeni yao. Watu kama huyu wanatufanya kupige kura baada ya kulipwa na wagombea.Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.