Spika Ndugai: Wabunge waliotoroka wana madeni makubwa na ya ujanja ujanja hivyo atawakabidhi Serikalini wachukuliwe hatua

..I thought so too.

..kwamba huu utoto haumuathiri Spika.

..unawaathiri zaidi cdm.

..sasa kwanini Spika anasumbuka nao kiasi cha kuwa kama amechanganyikiwa?
Si unakumbuka bunge lilifunguliwa bila kambi rasmi ya upinzani kuwepo bungeni nadhani Spika Ndugai anaogopa historia kujirudia ukizingatia watakuwepo mabalozi wa nchi mbalimbali!
 
Spika Ndugai amesema wabunge waliopo bungeni mahesabu yao yatarekebishwa!
Mimi ni mwanaccm tena senior kabisa. Lakini matendo ya huyu bwana Ndugai katika hizi siku za karibuni yanatufedhehesha sana.
Mbona anabwabwaja kama mwehu kila siku?
Hivi kazi za kibunge zikiendelea bila kuwataja hao au kuonyesha kuwa CCM tunachuki nao atakosa nini?
Sasa hivi hata mijadala ya wale wasio wapenzi wa chama chochote ni kuwa Chadema wako makini na wananchi na sisi hatuna hoja wala akili bali tunabebwa na wingi wetu na serikali pia.
Jambo hili sio zuri maana katika uchaguzi ujao kama mbinu zitadhibitiwa hakika hatutoboi kwa akili hizi za Ndugai.
Nitoe wito kwa wanaccm na wenye mapenzi na CCM kuwa tumkanye NDUGAI ASIKIHARIBIE SIFA CHAMA CHETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja tena ingependeza aende India kabisa.
..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?

..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.

..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?

..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
 
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.

Source Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!
Huyu SUPIKA amekuaje? Mbona amechanganyikiwa namna hii? Anatumia dawa gani za kukabiliana na UKIMWI wake wa muda mrefu? Labda tatizo limeanzia hapo.
 
Zile bil zake alizolamba zinamtesa sanaaa sanaa ....anajikomba kupitiliza anajikomba kwa dume mwenzie hadi aibu....ndio maana amerukwa mshipa aibu kabisa anaogopa kuwa spika mstaafu ndani bunge
 
Then unasikia wapinzani wanaleta siasa kipindi hiki Cha kolona😂😂😂😂awamu ya tano.....hamna vya maana vya kuzungumza muwasaidie wananchi wanaoteseka na umaskini na magonjwa?mnaongea ujinga tu
 
..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?

..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.

..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?

..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
Upande wa ccm anadai atabalance mahesabu ili wasiondoke mikono mitupu.
Huyu jamaa wadudu wamehamia ubongoni,soon atakuwa chizi kabisa
 
Then unasikia wapinzani wanaleta siasa kipindi hiki Cha kolona😂😂😂😂awamu ya tano.....hamna vya maana vya kuzungumza muwasaidie wananchi wanaoteseka na umaskini na magonjwa?mnaongea ujinga tu
Rais wa wanyonge yupo wapi? Kawatelekeza wanyonge wake au?
 
Then unasikia wapinzani wanaleta siasa kipindi hiki Cha kolona😂😂😂😂awamu ya tano.....hamna vya maana vya kuzungumza muwasaidie wananchi wanaoteseka na umaskini na magonjwa?mnaongea ujinga tu
Unataka waweweseke kama wale wanaojadili kupima mapapai na mafenesi huku wamejificha kwao?
 
Ndugai ana chuki kubwa sana Na wabunge Wa chadema, kiuongozi haijakaa sawa
 
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.

Source Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo anamaanisha wabunge wanaohudhuria bungeni baadhi ya madeni yao yatalipwa na serikali..
 
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.

Source Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!
Aliesama ayo nae anajiona ana akili sana..Juzi tu apa Mr.Rais ameomba nchi wahisani na mashirika kuzisamehe nchi maskini madeni yao. Watu kama huyu wanatufanya kupige kura baada ya kulipwa na wagombea.
 
Back
Top Bottom