..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?
..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.
..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?
..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.