Spika Ndugai: Wabunge waliotoroka wana madeni makubwa na ya ujanja ujanja hivyo atawakabidhi Serikalini wachukuliwe hatua

Spika Ndugai: Wabunge waliotoroka wana madeni makubwa na ya ujanja ujanja hivyo atawakabidhi Serikalini wachukuliwe hatua

Jana kuna mahali nilisema, picha ndo linaanza tena la kihindi....sijui kwanini picha za kihindi huwa zina nyimbo nyingi katikati.

Tumemaliza wimbo wa kuiba posho, sasa tumeingia wimbo mwingine wa madeni. Hata picha linaisha sijui nyimbo zitakuwa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshauri huyu spija aachane na hizi mambo,spika Ni mtu mkubwa Sana,,aachane na hii mipasho ya kila siku ambayo haina maana
 
Ndungai ni mpubavu kama bashite vile vidudu alivyonavyo vitakuwa vimeshambulia ubongo
 
..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?

..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.

..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?

..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.

Hata mimi namshangaa sana huyu Spika, Mzee Ndugai kiasi cha kujiuliza kapatwa na tatizo gani kichwani...??

Kiukweli huyu Mzee ana kila dalili kuwa anasumbuliwa na kitu fulani kwenye akili yake...

Madeni ya mtu na serikali wapi na wapi? Kwa sababu hii ni ishu kati ya anayedaiwa na mdai kwa mujibu wa makubaliano yao...

Ikitokea wameshindana, basi mmoja ni lazima afuate taratibu za kisheria kudai haki yake; mfano kufungua kesi ya madai mahakamani nk...

Mpaka hapa bila shaka Spika Ndugai ana lake jambo maana kwa takribani wiki nzima sasa tangu CHADEMA waji karantini, kila siku ni lazima kiripotiwe kituko kumhusu....!!

Mpaka sasa, there is nothing tangible and material going on in that house zaidi ya umbea na mambo ya kusutana/mipasho tu huku kiti cha Spika kikiwa ni ringleader ya yote hayo....

This is so sad kwa kweli...
 
Back
Top Bottom