Kazoea bussines as usual.hili limemkalia kooni na wanyonge wake kawaacha solembaRais wa wanyonge yupo wapi? Kawatelekeza wanyonge wake au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazoea bussines as usual.hili limemkalia kooni na wanyonge wake kawaacha solembaRais wa wanyonge yupo wapi? Kawatelekeza wanyonge wake au?
..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?
..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.
..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?
..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.