Ndugai anawataka wabunge wote wa upinzani kurudi bungeni kwa sababu ni watoro na pia wameshalipwa posho za karibia wiki mbili,Sasa nnachojiuliza inaama bunge linalipa watu kabla ya kufanya kazi na pia Ina maana rwakatale,mahiga na ndassa walishalipwa na pia Kuna libunge lingine wamelidaka na silaha kibao Kama Chuck Norris anaenda Vietnam nalo limeshalipwa posho ambazo ni kodi zetu sisi malofa, bunge ni sehemu ya kazi kwa wabunge hilo ni sawa sasa kuna mtu mmoja tena kiongozi mkubwa tunamgaramia kwa kila kitu sasa iweje na yeye nae kaacha ofisi ambayo tunagharamia kaenda kujificha kwake lakini kwa gharama zetu, huyu nae tumfanyeje? Nataka jibu ndugai
Sent using
Jamii Forums mobile app