Hata walioko bungeni nao lazima wapimwe ili wachangamane na waliopimwa.Am confused; kama wametoroka kwanini wanataka waje na vipimo vya Covid 19?
Kama unataka vipimo vya Covid19 kuonesha wako negative hili warudi bungeni basi lazima ukubali wako karantini na sio kwamba wametoroka.
Na ukikubali wako karantini inabidi ukubali kuwalipa.
Muulize ndugai anahaha nini?Chadema imeshakufa, imebaki huku jamii forumu tu
Huku mtaani hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha mbunge akiwa bungeni anakuwa nje ya kituo chake cha kazi?!SPIKA Amesema Perdiem. Yani posho ya kujikimu ukiwa nje ya kituo chako cha kazi. Hata Serikalini, mtumishi hawezi kusafiri bila kulipwa posho ya kujikimu nje ya KITUO cha kazi. Siyo SITTING ALLOWANCE au posho ya kuhudhuria kikao. Perdiem hulipwa kabla ya safari ili mtumishi akatekeleze jukumu fulani. Rejea. Rais aliwahi kufuta sherehe flani, na watumishi wa Umma wakaambiwa warejeshe Perdiem.
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika ni zamu ya mwanamke!Hofu ya Ndugai moja ni kuendelea kuwa mbunge wa Kongwa, pili ambayo ndio kubwa zaidi ni kuendelea kuwa Spika kwa awamu ijayo.
Hata hivyo wanasahau kuwa Corona nayo inamipango yake.
mean while mbele wanamuita genius. sasa upumzike tu usipate preshaMaccm sijui huwa yanalogana akili
Mbona wana mambo ya ovyo ovyo sana
Hawa ndio wanatufanya tukiwa ugenini tuone aibu kusema tunatokea Tanzania.
Unakuta mtu anakuuliza , Rais wenu ndio yule mpima mapapai ?
Unabaki kusema ni rais wa club ya jangwani huyo
Mkuu hyo Ni posho ya kikao au makalio au sitting allowance.Kiujumla Ni makosa kulipa watu bila kufanya kazi.hili bunge linafilisi tu wananchi kweli spika analipwa 500,000/= eti kwa kuongoza kikao.Huo Ni wiziSPIKA Amesema Perdiem. Yani posho ya kujikimu ukiwa nje ya kituo chako cha kazi. Hata Serikalini, mtumishi hawezi kusafiri bila kulipwa posho ya kujikimu nje ya KITUO cha kazi. Siyo SITTING ALLOWANCE au posho ya kuhudhuria kikao. Perdiem hulipwa kabla ya safari ili mtumishi akatekeleze jukumu fulani. Rejea. Rais aliwahi kufuta sherehe flani, na watumishi wa Umma wakaambiwa warejeshe Perdiem.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bogazi kweli sasa kama humu cdm ipo mtaani inakosekana vipi? Tuliopo humu jf ndio tupo mtaani.Chadema imeshakufa, imebaki huku jamii forumu tu
Huku mtaani hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maccm sijui huwa yanalogana akili
Mbona wana mambo ya ovyo ovyo sana
Hawa ndio wanatufanya tukiwa ugenini tuone aibu kusema tunatokea Tanzania.
Unakuta mtu anakuuliza , Rais wenu ndio yule mpima mapapai ?
Unabaki kusema ni rais wa club ya jangwani huyo
Hugo limemchanganya neno per diem.Hyo Ni posho inayolipwa kwa Siku au posho ya kikao pale bungeniUnamaanisha mbunge akiwa bungeni anakuwa nje ya kituo chake cha kazi?!
Haya yatakuwa maajabu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtizamo wangu Ndugai kapanga kuwadhalilisha wabunge Wa upinzani, Na inaonekana Ni maelekezo toka juuu.Kwa maoni yangu ile pesa wairudishe ila wasirudi bungeni maana muda ushaisha.Wakutane Novemba kwa wale watakaorudi.Ndugai anawataka wabunge wote wa upinzani kurudi bungeni kwa sababu ni watoro na pia wameshalipwa posho za karibia wiki mbili,Sasa nnachojiuliza inaama bunge linalipa watu kabla ya kufanya kazi na pia Ina maana rwakatale,mahiga na ndassa walishalipwa na pia Kuna libunge lingine wamelidaka na silaha kibao Kama Chuck Norris anaenda Vietnam nalo limeshalipwa posho ambazo ni kodi zetu sisi malofa, bunge ni sehemu ya kazi kwa wabunge hilo ni sawa sasa kuna mtu mmoja tena kiongozi mkubwa tunamgaramia kwa kila kitu sasa iweje na yeye nae kaacha ofisi ambayo tunagharamia kaenda kujificha kwake lakini kwa gharama zetu, huyu nae tumfanyeje? Nataka jibu ndugai
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitasahau nikiwa ugenini nikaonyeshwa clip ya albino wa Tanzania wakiwa OThambo airport wakielekea Marekani kwenda kuishi wakikimbia kuuwawa Tz! Mbaya zaidi walikuwa wameshakatwa mikono tayari. Siku hiyo sikuomba hata KMaccm sijui huwa yanalogana akili
Mbona wana mambo ya ovyo ovyo sana
Hawa ndio wanatufanya tukiwa ugenini tuone aibu kusema tunatokea Tanzania.
Unakuta mtu anakuuliza , Rais wenu ndio yule mpima mapapai ?
Unabaki kusema ni rais wa club ya jangwani huyo
Ukiangalia Bunge liko tupu. Sio wa Chadema peke yao ambao hawapo. Alitakiwa kusema wale wote ambao hawahudhurii vikao wanatakiwa kurudisha posho za vikao. Kwa jinsi alivyozungumza amewalenga waliojiweka karantini peke yao. Hiyo sio haki na ni dalili ya kutaka kukomoana na kuchafuana.Nafikiri hoja nikwamba wamelipwa pesa kwa kazi ambayo hawafainyi hivyo wairudishe.
Ni jambo rahisi Kama Mtu kalipwa kwa kazi ambayo hajaifanya anarudisha fedha sioni tatizo kwa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni wazi umemsikia spika akiongea ila HAUJAMSIKILIZA.Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
Kweli kabisa.Hata walioko bungeni nao lazima wapimwe ili wachangamane na waliopimwa.
time will tellUkiangalia Bunge liko tupu. Sio wa Chadema peke yao ambao hawapo. Alitakiwa kusema wale wote ambao hawahudhurii vikao wanatakiwa kurudisha posho za vikao. Kwa jinsi alivyozungumza amewalenga waliojiweka karantini peke yao. Hiyo sio haki na ni dalili ya kutaka kukomoana na kuchafuana.
Mtu akilipwa kimakosa au isivyo stahili yake, anayetakiwa kuwadai ni Accounting Officer na sio Speaker.
Btw. Hata kama una kibali cha kutokuwa Bungeni bado haustahili kulipwa posho ya vikao. Kwa hali inavyoonekana ni wengi mno ambao wanatakiwa kurudisha pesa.
Amandla.....
Kawaida ilibidi wapewe masurufu (safari imprest) kwa kukadiria siku watakazokaa na baadae wanafanya marejesho na Kama watshindwa kufanya marejesho wanakatwa mishahara yao.Kwa hiyo huwa wanalipana kabisa kabla ya kazi...
Hii nchi ina mambo ya kijinga sana...Sad indeed
Sent using Jamii Forums mobile app