Spika Ndugai: Wafanyabiashara wa nchi hii kila siku wanalalamika, mnahitaji kengele gani igongwe?

Spika Ndugai: Wafanyabiashara wa nchi hii kila siku wanalalamika, mnahitaji kengele gani igongwe?

Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Kama mnachakachua kura,kumshangilia lumumba,mliyekuwa mnampa hela awaseme vizuri,sishangai.
 
Hii nchi wafanyabiashara ni wachache mno wengi ni wachuuzi na madalali. Na serikali ikijichanganya tu kuwaita jambo lao la kwanza ni kuomba misamaha ya kodi.
Kwani ni vibaya Serikali kutoa misamaha ya kodi kwa wale ambao biashara zao zimeelemewa na 'makodi' yanayotia shaka?

Mbona nchi nyingi tu serikali zao wanafanya hivyo.
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
wacha chuki binafsi, wee lisu alikufanya nini? lisu yuko zake mbele anakula maisha, wee unaumia nini?
afu wacha kuongelea mambo ya awam ya tano yalopitwa wakati na kusahaulika,
shtuka na utoke usingizini sasa ni awamu ya sita chini ya mwanamama.
Awam hii chuki ni mwiko wala lisu hajaizungumzia vibaya wala hajaichafua awamu hii ya sita.
 
Fahamu zimeachia.Uhuru wa kuwaza unakaribia kutamalaki.Wakati wa filters angesemea wapi.

Hao TRA wenyewe waliagizwa wapeleke fedha hata kwa kunyonga mtu.
Mimi binafsi sijamuelewa spika
 
Aache unafiki mbona hakusema hivyo wakati ule
Mbona amekuwa akiongea mara kwa mara au kwa kuwa lei kagusia biashara?
Siku zote huwa hamtaki kufuatilia mambo yake leo nini kimewatuma?

Fuatilia ushauli wake kwa mawazili kuanzia huko nyuma ndo utajua.
Na ushauli wake sio lazima waufuate.
 
Nje ya mada,
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
 
Kodi Kubwa, Kodi Nyingi, Sheria za feza, na Biashara ni kizuizi kikubwa cha maendeleo ya nchi, na kelele zimepigwa miaka mingi sana, Wafanya Biashara wametoa maelekezo jinsi ya kuondoa haya matatizo lakini hawabadilishi
 
Inaonesha wengi hamjasoma habari hadi mwisho
 
You are totally OP my dear! Havioani kabisa! Pole.
 
Yeye pia ni mfanyabiashara (Vituo vya mafuta)
 
Ina
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante
Unajielewa lakini?
Unapewa nn,unalipwa nn, do you know anything or do you have anything in your head
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Wewe umejipanga kufanya Nini? Smart people discuss idea, not people, wewe nafasi yako katika taifa hili ni Nini?
 
Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo.

Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi ambayo muda wowote yanaweza kumaliza na kurudi nyumbani(Bungeni) hivyo wasisahauline.

Kisha akawaongelea wafanyabiashara na kuwakumbusha mawaziri wanahitaji nini kujua eneo la biashara ni kipaumbele namba moja!

"Mimi nasikia kila siku habari za wafanyabiashara wa nchi hii wakilalamika, kila siku. Hivi waziri wa uwekezaji, viwanda na biashara, fedha na waoendana na hiyo kada ya biashara, mnahitaji kengele gani igongwe kusema kwamba hili eneo ni kipaumbele namba moja"

Pia Spika Ndugai ameziongelea shida za wizara za TAMISEMI, tatizo la dawa MSD na tatizo la upimaji ardhi.


Anawacheka mamba wakati naye ni mvuvi mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom