Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Kama mnachakachua kura,kumshangilia lumumba,mliyekuwa mnampa hela awaseme vizuri,sishangai.Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Kwani ni vibaya Serikali kutoa misamaha ya kodi kwa wale ambao biashara zao zimeelemewa na 'makodi' yanayotia shaka?Hii nchi wafanyabiashara ni wachache mno wengi ni wachuuzi na madalali. Na serikali ikijichanganya tu kuwaita jambo lao la kwanza ni kuomba misamaha ya kodi.
Lilifanyika kosa kubwa mno......Ndiyo maana wagogo wengi ni omba omba sababu ya kuongozwa na kituko kama hiki
Hii comment inahusiana vipi na huu uzi eeh?Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
wacha chuki binafsi, wee lisu alikufanya nini? lisu yuko zake mbele anakula maisha, wee unaumia nini?Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Mimi binafsi sijamuelewa spika
Mbona amekuwa akiongea mara kwa mara au kwa kuwa lei kagusia biashara?Aache unafiki mbona hakusema hivyo wakati ule
Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Kweli ujinga ni ujinga tu!Ndiyo maana wagogo wengi ni omba omba sababu ya kuongozwa na kituko kama hiki
Ni mtu mzima sasa huyo?Kweli ujinga ni ujinga tu!
Mfano ukituko wa Ndugai gapo uko wapi?
Unajielewa lakini?Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante
Nae ana vituo vya mafuta sita hivi Dodoma na Iringa hivo anajisemea na yeye mwenyewe
kweli hata mm sijaviona, labda yupo share na wenzake, lkn km ni jamaa wa Kongwa nakataa, ngoja Arovera atutajieVinaitwaje? Isije ikawa vya iceberg iliyoyeyuka ghafla
Wewe umejipanga kufanya Nini? Smart people discuss idea, not people, wewe nafasi yako katika taifa hili ni Nini?Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Anawacheka mamba wakati naye ni mvuvi mtarajiwa.Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo.
Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi ambayo muda wowote yanaweza kumaliza na kurudi nyumbani(Bungeni) hivyo wasisahauline.
Kisha akawaongelea wafanyabiashara na kuwakumbusha mawaziri wanahitaji nini kujua eneo la biashara ni kipaumbele namba moja!
"Mimi nasikia kila siku habari za wafanyabiashara wa nchi hii wakilalamika, kila siku. Hivi waziri wa uwekezaji, viwanda na biashara, fedha na waoendana na hiyo kada ya biashara, mnahitaji kengele gani igongwe kusema kwamba hili eneo ni kipaumbele namba moja"
Pia Spika Ndugai ameziongelea shida za wizara za TAMISEMI, tatizo la dawa MSD na tatizo la upimaji ardhi.