Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Hahahahaha imekabwa na Nani? Mimi binafsi ndo kwanza nimechukua kadi.Chadema imekabwa koo,! Na hapo hata oktoba bado haijafika mbona maji mtaita mma!
Na hivi hamna hela hata za kampeni maana mabwana zenu wapo wanapambana na corona, hahahaha...
Sent using Jamii Forums mobile app
What a crap? Ruhusuni mgombea huru mtaondokana na matatizo haya. Ni katiba ipi inaruhusu mtu kuwa na kadi ya chama kimoja na kuwa mwanachama wa chama kingine!Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni...
Labda unesahau hata zito alipovuliwa uanachama wa chadema aliendelea na bunge hadi lilipovunjwa bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya ndugai haina mashiko. Yaani ushahidi wote ule Wa mwambe kujiondoa chadema anaachwa tu? Kwa nn yeye asimwambie aandike hyo barua?
Mungu anisamehe sana, Kwa yanayoendelea hapa nchini! Mmoja analeta dawa, anasema ni ya majaribio, wakati yeye alipiga kikombe huko madagascar!Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni...
Anafanya wagogo wote waonekane hawana akiliHawa waliandika barua baada ya kufukuzwa?View attachment 1447963View attachment 1447964
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inasema mmbunge akipoteza sifa ya Uanachama wa chama kilichomuweka bungeni anapoteza pia sifa ya kuwa mbunge.Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lolote saccos imeshindwa kabisa!Spika amelikoroga anatafuta pa kutokea
Mwambe ataandika barua kwa kuwa ameambiwa then ataondolewa Bungeni kwa msemo amejiuzulu
Amejiuzulu mara mbili hahahhh hii nchi ni Mungu tu anajua
Social Media ni Msumeno unakata huku na huku
Huyu naye ni ajabu jingine la dunia kweli yajayo yanafurahishaIvi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?
Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
DUI kazi ipo hilo bonge sasa afadhali hats klabu ya walevizaidi ya hapa anataka nini tena ?
Ivi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?
Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
Spika sio kiongozi wa chama cha siasa, anatakiwa kutaarifiwa linapotokea swala la kukoma kwa uanachama wa mbunge ambaye alikuwa mwanachama wa chama fulani, ukijiengua mtaarifu na ukienguliwa wamtaarifu tofauti na hivyo kwa Spika bado utaendelea kupeta na hatotoa taarifa kwa tume ya uchaguzi sababu hatokuwa na nakala ya kuambatanisha kusapoti taarifa yake ya jimbo kuwa wazi.Sheria inasema mmbunge akipoteza sifa ya Uanachama wa chama kilichomuweka bungeni anapoteza pia sifa ya kuwa mbunge.
Hembu tujuze hapa huyo mwambe Ni mwanachama wa chama gani?
Sent using Jamii Forums mobile app