Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni...
What a crap? Ruhusuni mgombea huru mtaondokana na matatizo haya. Ni katiba ipi inaruhusu mtu kuwa na kadi ya chama kimoja na kuwa mwanachama wa chama kingine!
 
Hoja ya ndugai haina mashiko. Yaani ushahidi wote ule Wa mwambe kujiondoa chadema anaachwa tu? Kwa nn yeye asimwambie aandike hyo barua?
 
Hoja ya ndugai haina mashiko. Yaani ushahidi wote ule Wa mwambe kujiondoa chadema anaachwa tu? Kwa nn yeye asimwambie aandike hyo barua?

Cecil Mwambe alikuwa kajipumzikia nyumbani kwake ameridhika kuwa ktk chama chake kipya CCM.

Spika Ndugai ndiye aliyeanza kumfuata-fuata na kumlazimisha arudi bungeni.

Anachofanya Spika Ndugai ni makosa kisheria na kimaadili.
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni...
Mungu anisamehe sana, Kwa yanayoendelea hapa nchini! Mmoja analeta dawa, anasema ni ya majaribio, wakati yeye alipiga kikombe huko madagascar!

Mwinngine kajificha kwao!ila anatuambia korona ni kaugonjwa tu! Haki ya nani vile!natamani baadhi ya watu wapate corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inasema mmbunge akipoteza sifa ya Uanachama wa chama kilichomuweka bungeni anapoteza pia sifa ya kuwa mbunge.

Hembu tujuze hapa huyo mwambe Ni mwanachama wa chama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika amelikoroga anatafuta pa kutokea
Mwambe ataandika barua kwa kuwa ameambiwa then ataondolewa Bungeni kwa msemo amejiuzulu
Amejiuzulu mara mbili hahahhh hii nchi ni Mungu tu anajua

Social Media ni Msumeno unakata huku na huku
Hakuna lolote saccos imeshindwa kabisa!
 
Ivi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?

Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
Huyu naye ni ajabu jingine la dunia kweli yajayo yanafurahisha
 
umesahau ile clip iliovuja ikilenga kumchafua Askofu Gwajimaa.
Ivi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?

Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
 
Sheria inasema mmbunge akipoteza sifa ya Uanachama wa chama kilichomuweka bungeni anapoteza pia sifa ya kuwa mbunge.

Hembu tujuze hapa huyo mwambe Ni mwanachama wa chama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Spika sio kiongozi wa chama cha siasa, anatakiwa kutaarifiwa linapotokea swala la kukoma kwa uanachama wa mbunge ambaye alikuwa mwanachama wa chama fulani, ukijiengua mtaarifu na ukienguliwa wamtaarifu tofauti na hivyo kwa Spika bado utaendelea kupeta na hatotoa taarifa kwa tume ya uchaguzi sababu hatokuwa na nakala ya kuambatanisha kusapoti taarifa yake ya jimbo kuwa wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom