Spika Sitta amtimua nje Cheyo (UDP) Bungeni kwa kubishana naye!

Bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako. Mtu mzima kumwambia Sit down kama mbwa ni kanuni ya bunge? Alipaswa kumwambia kwa namna na lugha ya kiungwana. Pili kwa nini spika amjibie waziri? Hapo ndipo utata ulipoanzia, maana spika alipomjibia waziri, Cheyo akasema, kama ni jibu la spika sawa (yaani akawa mnyonge) ila sikuridhika. Yaani spika kuwa mbogo pale alishaona amekosea kumjibia waziri na akaamua kuwa mkali ili kuficha kosa lake.
Turudi kwenye point - hoja ya madhara ya kemikali kule north Mara. Hivi Masatu unajua kuwa wale wanaoungua ni ndugu zetu na hao barrick wala hawagusi maji ya mito yetu?.

Niliwahi kuambiwa Meneja wa Barrick hakai Kule anatoka Dar es Salaam kwa Charter kwenda kule kila siku,hata Nyumba waliyopanga ni Nyumba ya aliye kuwa Katibu Mkuu IKULU nyakati za Mzzee Ruksa wanalipa dola 20,000 kwa mwezi
 
Ndio, alitumia gari ya serikali kumpa Hawara, pia alinunua dawa za mamilioni, hapo unasemaje kwa usongo tulionao?

Kama Cheyo alisha amua kutoka, kulikuwa na ulazima gani wa Six kubwata 'go out', na kuita askari wamtoe? si alisha ona anatoka angemuacha tu?

Kibwagizo cha kwamba wapinzani wanataka kuleta udikteta kilikuwa kinahusikaje?

Six kachemsha big time! Heshima aliyo kuwa nayo kwa watanzania walio wengi, nasikitika kumtaarifu grafu yake imeshuka kwa kasi ya ajabu!

Bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako. Mtu mzima kumwambia Sit down kama mbwa ni kanuni ya bunge? Alipaswa kumwambia kwa namna na lugha ya kiungwana. Pili kwa nini spika amjibie waziri? Hapo ndipo utata ulipoanzia, maana spika alipomjibia waziri, Cheyo akasema, kama ni jibu la spika sawa (yaani akawa mnyonge) ila sikuridhika. Yaani spika kuwa mbogo pale alishaona amekosea kumjibia waziri na akaamua kuwa mkali ili kuficha kosa lake.
Turudi kwenye point - hoja ya madhara ya kemikali kule north Mara. Hivi Masatu unajua kuwa wale wanaoungua ni ndugu zetu na hao barrick wala hawagusi maji ya mito yetu?.

Masatu anataka kuwakasirisha watu tu. Ndivyo alivyo, nyie kateni issue achaneni naye.
 
Tusipokuwa waangalifu ndugu zetu wa kanda ya dhahabu watamalizika wote, ni vizuri tuwasaidie kwa kuokoa kizazi chao kijacho. Hizi dawa nyingine zinaenda kizima kabisa zile sehemu za kuleta heshima. Jamani amkeni
 
Bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako. Mtu mzima kumwambia Sit down kama mbwa ni kanuni ya bunge? Alipaswa kumwambia kwa namna na lugha ya kiungwana. Pili kwa nini spika amjibie waziri? Hapo ndipo utata ulipoanzia, maana spika alipomjibia waziri, Cheyo akasema, kama ni jibu la spika sawa (yaani akawa mnyonge) ila sikuridhika. Yaani spika kuwa mbogo pale alishaona amekosea kumjibia waziri na akaamua kuwa mkali ili kuficha kosa lake.
Turudi kwenye point - hoja ya madhara ya kemikali kule north Mara. Hivi Masatu unajua kuwa wale wanaoungua ni ndugu zetu na hao barrick wala hawagusi maji ya mito yetu?.

Sasa huoni lugha unayotumia kwangu ni mbaya zaidi kuliko hata aliyotumia Spika dhidi ya Cheyo? Labda ungeanza kujifunza adabu wewe kabla ya kuangalia makosa ya wenzio.

Usichanganye mambo hapa, hakuna anaeunga mkono madhara ya kemikali kule ma-home the issue hapa ni taratibu za uwasilishaji wa hoja kuhusu suala hili lazima zizingatiwe. Bunge sio baraza la kahawa kuruhusu upayukaji tu bila taratibu kufuatwa, tusipokuwa waangalifu tutajenga bad precedence kwenye kanuni za uendeshawaji wa mhimili huu wa dola.
 
Dunia hii bwana. Masatu wee si mtu wa hukohuko kwenye hizo Acid? Viongozi wa mkoa wenu wamekaa kimya hadi Ngosha Cheyo kaja kutetea na Ngosha mwingine wa Urambo kamwambia kaa chini na wakati huo ilikuwa ni ugomvi kati ya Waziri na Cheyo. Sitta kuona kimwana ananyanyaswa, kanunua ugomvi na kutumia rungu la SPIKA na kumgambira Cheyo GET OUT kuru-pabliki lwa watu. Cha ajabu Masatu anaona Spika mnyamwezi wa Urambo yuko sahihi. Uzuri sasa serikali yenyewe inasema kuwa Barrick walidanganya na hii inamaanisha kuwa Cheyo alikuwa sahihi. Sasa hii inazidi kututia aibu wanyamwezi wa Tabora. Sijui sisi "Vanyantovola" aka Watu wa Tabora tumemiss nini kichwani? Lipumba, Sitta, Selleli, Said Nkumba, UVCCM-Tabora, nk nk waliopata shule safi kabisa na kuja kuishia mambo ya aibu aibu. Nafikiri umasikini wetu umetufanya kwamba ukipata basi wengine WASHUT UP. Kibaya, hawa viongozi wetu wa sasa wako chini ya Miguu ya kitoto kidogooo kiitwacho ROSTAM AZIZ.
Masatu, nakubaliana na wewe kuwa Sitta anaendesha bunge ki-akili na busara sana. Nilifikiri Wanyamwezi siye kila mtu anatuona hamnazo, ila Mirambo abarikiwe kuwa kuna akina Masatu wanaona "tunatumia busara sana".

Wewe una matatizo makubwa ya ukabila, huna haja ya kurudia rudia katika kila post unyamwezi wako na wasomi wa kinyamwezi. Inafika wakati sasa inaboa na kibaya masuala haya ya ukabila ni ya kuogopwa sana.

Jaribu kijadili hoja badala ya kung'ang'ania uasili wako, hebu rejea mchango wako hapo juu utaona umejijadili wewe mwenyewe na wanyamwezi wenzio badala ya subject matter.

Sitaki niingike katika mtego wa kujadili watu, kabila, dini nk lakini nakupa tahadhali watanzania mshikamamo wetu umejengwa na utaifa badala ya hayo mambo, sana sana kujuana makabila kunatusaidia kwenye kufanyiana utani tu.

Sasa nirudi kwenye mada issue hapa kama nilivyo mjibu msomaji kabla ni hakuna anae unga mkono madhara ya kemikali zile kule North Mara, lakini lazima tukubali Bunge letu linaendeshwa na kanuni na taratibu zake hizo lazima zifuatwe haya mambo ya kutaka short cut ndio maana tunawachoma moto vibaka.

Mh Cheyo kachemsha na anajua hilo ndio maana alianza kutoka kabla hata hajaambiwa atoke.

Bunge hili la kuelekea uchaguzi mkuu kila mtu atakuja na staili yake ya kupata attention na ku hit headlines na Mzee mapesa ana capitalise on that
 
Wakati fulani katika thread moja watu walimshambulia Sitta na mh Zito hapa akamtetea kwamba huyu mhuni baba mpenda vimwana analiendesha bunge fairly.
Sasa tunamuomba Zito hapa atupe mawazo yake tena kuwa Sita si dikteta, maana tumeona wenyewe live. Tena akitukana si kukejeli tu, upinzani!
 
unafikiri katika kusimamia kanuni ya Bunge, Sitta angeweza kufikisha ujumbe huo huo kwa Cheyo bila kupayuka na kutumia maneno aliyotumia? Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu suala la kusimamia kanuni za Bunge, lakini katika kufanya hivyo ndio uungwana usiwepo?
 
Again,

The ignoble intolerance and graceless gargantuanism veiled under the guising banner of "standards and speed" shall not prevail without the strongest condemnation from Bunge watchers.

The brutal and uncivil language unleashed on the courteous, peace loving and jovial person of MP John Cheyo, an eminent opposition figure, UDP chairman, pioneering textile executive and established respected businessman who rose to presidential politics, is nothing short of bulldozing bullyism and despairing dictatorship. To add insult to injury, the spinmaster clowning as speaker, uses the "dicatorship" card on the poor, outnumbered, disorganized and often convoluted opposition members.This is simply beyond graceless, for even the graceless must abide by the least amount of common human fairness which dictates that, you cannot invoke the last card on a poor, outnumbered opponent.Sitta could not wait to invoke his speakership's finality on a matter that could very easily be spinned by the ordinary CCM spin machine. And John Cheyo is not known for cheap publicity stunts on a grand scale.

If you think I am hyperboling, think about this.

You could never see A.Y Karimjee acting stupid like this.
You could never see Chief Adam Sapi acting stupid like this.
You could never see Chief Erasto Mang'enya acting stupid like this.
You could never see Pius Msekwa acting stupid like this.

What is wrong with our current speaker? Mind you, this is not an incident, it is a trend.

What the speaker is neglecting to acknowledge, or outright ignoring, is that the people of Tanzania (including his constituency) are no fools, some have seen the media reports, and some, like me, did not even need this brouhaha to conclude that.

Even when one closes his eyes, when shifting the face towards the sun, one will feel it's heat and light through the skin. Tanzanians have closed their eyes for far too loong, but now even the unassuming government trusting people, with their eyes closed, can detect that there is something wrong here.Why is the speaker overreacting so much? Why is common civility, a trait that is so famous amongst Tanzania, lacking like a rare commodity in this supposedly most august of our institutions? Is there something we do not know?

Mr. Sitta, if you cannot see the sign on the wall, if you cannot read the mood of the people, if you cannot acknowledge that the days of "Chama Chashika Hatamu" are over - however much of a monopoly CCM still enjoys- you are not only doing democracy and progress a disservice, you are also being naive and hurting your own political career. If you cannot do away with these partisan tendencies for the country and democracy, do so for your own good, before we turn the place upside down and send you and your lot to the Tanzanian version of the guillotine.
 
Last edited:
Wewe una matatizo makubwa ya ukabila, huna haja ya kurudia rudia katika kila post unyamwezi wako na wasomi wa kinyamwezi. Inafika wakati sasa inaboa na kibaya masuala haya ya ukabila ni ya kuogopwa sana.

Jaribu kijadili hoja badala ya kung'ang'ania uasili wako, hebu rejea mchango wako hapo juu utaona umejijadili wewe mwenyewe na wanyamwezi wenzio badala ya subject matter.

Sitaki niingike katika mtego wa kujadili watu, kabila, dini nk lakini nakupa tahadhali watanzania mshikamamo wetu umejengwa na utaifa badala ya hayo mambo, sana sana kujuana makabila kunatusaidia kwenye kufanyiana utani tu.

Sasa nirudi kwenye mada issue hapa kama nilivyo mjibu msomaji kabla ni hakuna anae unga mkono madhara ya kemikali zile kule North Mara, lakini lazima tukubali Bunge letu linaendeshwa na kanuni na taratibu zake hizo lazima zifuatwe haya mambo ya kutaka short cut ndio maana tunawachoma moto vibaka.

Mh Cheyo kachemsha na anajua hilo ndio maana alianza kutoka kabla hata hajaambiwa atoke.

Bunge hili la kuelekea uchaguzi mkuu kila mtu atakuja na staili yake ya kupata attention na ku hit headlines na Mzee mapesa ana capitalise on that

Yego Masatu, umeenda mjini na kulala hukohuko. Hee napenda hili neno likisemwa kijita te teeeeee.....
Mambo ya Ukabila, kwani wafahamu kabila langu? Hata mie sifahamu kabila lako. Kujua lugha za watu na kujiandika Sikonge au Masatu, haimaanishi kuwa wewe ni wa Sikonge au kwa akina Masatu.....

Kama ni Ku-boa basi wewe leo umeboa watu kichizi. Hebu angalia ujumbe wako wamejibu watu wangapi kuwa umechemsha. Halafu bila aibu unasema mie ninaboa...... ehhh, yego Masatu, wagenda mjini na kulala hukohuko?

Nafikiri sasa nimeku-boa vya kutosha. Mwisho braza Sitta kumtoa braza Cheyo kachemsha, period. Usitake usitake kachemsha. Kama utazidi kumtetea itabidi tuanze kuchimba kulikoni katika uhusiano wa Sitta na ndugu/jamaa wa kike wa karibu wa Masatu...... maana ngosha nasikia anapenda sana ......................teteteteeteeee.

Anyway, Masatu, wanasema don't hate the player but hate the game. Kama imekuGUSYA basi pole sana. Ntajitahidi next time isikuTOUCH kiasi kwamba ikaanza ku-boa.

NB: Masatu, heshima mbele sanasana. Ukileta utani na mie ntaleta utani siku zote. Ukileta habari ukiwa kwenye suti, basi hata mie ntakimbia kwanza walau niwe soap soap na kuja kujibu. Najua anga zako siku zote na nikikufuata huko, don't take it personal......... Tuendelee na mjadala.
 
Sikonge,

Unless ulikuwa unatania lakini katika mabandiko yako mengi huko nyuma umekuwa ukiji tambulisha kama Mnyamwezi wa Sikonge. Kwangu mimi hakuna ubaya tatizo linakuja unapo usha bihisha "unyamwezi" wa wenzio na utendaji wao na sasa unavuka mipaka na kutuona wengine tunawaangusha ndugu kwa sababu tu tunao nekana kumtetea Sitta.

Hoja inapo ungwa mkono na wengi hamna maana ndio sahihi au ina mashiko au kinyume chake.

Nitake nisitake Sitta kachemsha! hey! slow down mkuu mbona unatupeleka kama kombania ya jeshi? labda upo sahihi Sitta kachemsha na zaidi kwa tone aliyotumia lakini Cheyo ndio kachemsha zaidi kwa kuvunja kanuni ya bunge.

Nisingependa kume comment hayo ya "jamaa wa kike wa karibu wa Masatu" kwani ni too low kwangu na naya chukulia kama ni "slip of keyboard" tu au umepitiwa na nothing personal kama mwenyewe ulivyo malizia.

Otherwise mjadala uendelee
 
Sitta safi sana..."Laana ya mzee cheyo na watanzania" itakufikia sitta na wewe iko siku utafukuzwa na wananchi kama ulivyomfanya mwenzako inshallah
 
Kuna tetesi kuwa familia ya Joji Kichaka ina share kwenye kampuni ya Barrick na ndio maana Kichaka alitembelea Bongo. Ni kweli?

Bwana mdogo Masatu, hapa tunajadili kuhusu Samweli Sita na Cheyo hayo ya George Bush anzisha topic nyingine usitake kutuvuruga akili. Kama umetumwa kamwambia aliyekutuma kwamba JF hapavurugiki.
 
CCM hawapendi kuwaona wabunge wa vyama vya upinzani ndani ya bunge. kama ingewezekana wangependa wawe pekee yao na kupitisha kila kitu bila ya kuhoji.
Lakini wakati unagomba inabidi wabunge wa upinzani wawepo ndani ya bunge, na kizuri zaidi nina imani 2010 wabunge wa upinzani watakuwa wengi kuliko wabunge wa CCM, na hapo ndipo tutakapokuwa na bunge ndani ya Tanzania.

Spika hakuwa na sababu ya kuushambulia upinzani bungeni katika mjadala huu zaidi ya chuki za kipumbavu. Mhe Cheyo kama Mbunge husika alitaka kujua kinachoendelea ili awe na majibu ya kuwajibu wananchi waliomtuma. Tungelikuwa na bunge lenye wabunge kamili basi wabunge wote wangelitoka nje ya bunge na kumuacha huyu mbabe na ukumbi wake mtupu. Ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa kutendwa na Spika katika nchi kama Tanzania.
 
Wakati fulani katika thread moja watu walimshambulia Sitta na mh Zito hapa akamtetea kwamba huyu mhuni baba mpenda vimwana analiendesha bunge fairly.
Sasa tunamuomba Zito hapa atupe mawazo yake tena kuwa Sita si dikteta, maana tumeona wenyewe live. Tena akitukana si kukejeli tu, upinzani!

Sitaki kuusemea moyo wa Mh. Zito lakini huyu mtu ni Mpinzania hawezi ku support Spika na hapo hapo na yeye anasuburi kibano kwa kutokujua kanuni za Bunge!!
 
Sitta safi sana..."Laana ya mzee cheyo na watanzania" itakufikia sitta na wewe iko siku utafukuzwa na wananchi kama ulivyomfanya mwenzako inshallah

Ebana eeeh laana mbona tayari, jana nimemuona kwenye luninga akiwa na kitambaa cheupe kila baada ya secunde tatu au tano hivi anafuta jasho hapo ndipo nikajiuliza ni ugonjwa gani Spika kaugua ghafla kwani siku za nyuma hakuwa hivi, Ndio Thyrotoxicosis ndio humfanya mtu atokwe na jasho lakini sio kwa speed ile, lazima kama sio Bariadi basi ni Kigoma
 
Mwanzoni kuanzia post ya kwanza mpaka ya kumi na moja nilifuhi sana kutokana na michango mbalimbali ya wanaforum, hapa katikati tumeteleza kidogo kwa sababu ya kuingiza pia utani na lugha isiyo njema. Haya ni mambo ya kawaidi kila panapotolewa hoja na watu wenye kufikiri sawasawa.

Hatua ya kwanza kuonyesha kuwa wewe ni mmoja wa great thinker ni kuwa na uvumulivu kwa wenzio hasa pale wanapo potoka au wanapokuwa hawako kwanye mstari sahihi.

Spika wetu alisukumwa na msimamo wa kichama na masliahi ya chama zaidi kuliko maslahi ya taifa na kizazi chake, nafikiri ukitaka majibu ya maswali mengi yanayoulizwa na wote waliochangia utakuta yote yakijikita kwenye mfumo wa CCM kama taasisi inayopenda kudanganya watanzania. Sasa kwa great thinkers jibu ni nini? Sidhani kama ni Mh Sita kutukanwa au kuuwawa kabisa kisiasa, jibu ni kuishughulikia taasisi aliyoko ambayo ndiyo inampa kiburi kikubwa na kumfanya asahau kuwa anakalia kiti kulinda maslahi ya watanzania wote.

Yeyote ndani ya CCM asiyetetea na kulinda maslahi ya chama hata kama ni kwa kuuwa ndugu zake lazima watamshughulikia na spika wetu analijua hilo. sasa jamani mlitak afanye nini?
 
Ebana eeeh laana mbona tayari, jana nimemuona kwenye luninga akiwa na kitambaa cheupe kila baada ya secunde tatu au tano hivi anafuta jasho hapo ndipo nikajiuliza ni ugonjwa gani Spika kaugua ghafla kwani siku za nyuma hakuwa hivi, Ndio Thyrotoxicosis ndio humfanya mtu atokwe na jasho lakini sio kwa speed ile, lazima kama sio Bariadi basi ni Kigoma

Yaani mkuu nimecheka hadi jirani zangu wakadhani nimedata! duu mkuu hii connection ya dots ni kali sana!
 
Bwana mdogo Masatu, hapa tunajadili kuhusu Samweli Sita na Cheyo hayo ya George Bush anzisha topic nyingine usitake kutuvuruga akili. Kama umetumwa kamwambia aliyekutuma kwamba JF hapavurugiki.

???????????????????????????
 
Back
Top Bottom