Spika Sitta amtimua nje Cheyo (UDP) Bungeni kwa kubishana naye!

Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.

Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.

Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!
Hapana huyu jamaa ni mara ngapi amefanya vitu vya ajabu sana?? Sio tuna wivu ukweli ni Kamba wote ni watu wazima. sio kweli kuwa tuna wivu naye ndugu yangu. Huyu ni anafuatza matakwa ya Chama Chake cha CCm
 
Kitendo alichokifanya Spika dhidi ya Cheyo si cha kiungwana kabisa. Cheyo alionyesha utulivu na kutokujibu maneno ya kejeli ambayo spika aliendelea kuyatoa. Kweli Bunge limetawaliwa na chuki binafsi.

Hivi Spika alipima vipi udikiteta wa Cheyo, kwa ile picha ya jana yupi dicteta kati ya spika na Cheyo jamani.

Spika anajiandaa kustaafu nini na ndio maana analiongoza bunge kwa staili ya lala salama.
 
Ndio viwango vyake kwa kasi mpya na ari mpya, Sitta ni mtu wa viwango kama yeye anavyojiita!! hahaha, Ukweli ni Dicteta kabisa
 
Kuliko kubaki na Bunge kama hili ni Bora kusiwe na wabunge

Speaker Sitta ana tatizo la "niejerk" reaction na matokeo yake Bunge sasa linakosa mwelekeo kabisa. It is becoming so disgusting, so to speak. Naungana na Padri Karugendo aliyewashauri wafunge virago warudi makwao hakuna wafanyalo la maana kwa vile Bajeti imeshapita.
 
Naungana na wewe ndugu yangu, maana hakuna jipya kule na pia wanafanya yale wanaona kuwa yanawafaa mwenyewe
 
Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.

Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.

Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!

Dunia hii bwana. Masatu wee si mtu wa hukohuko kwenye hizo Acid? Viongozi wa mkoa wenu wamekaa kimya hadi Ngosha Cheyo kaja kutetea na Ngosha mwingine wa Urambo kamwambia kaa chini na wakati huo ilikuwa ni ugomvi kati ya Waziri na Cheyo. Sitta kuona kimwana ananyanyaswa, kanunua ugomvi na kutumia rungu la SPIKA na kumgambira Cheyo GET OUT kuru-pabliki lwa watu. Cha ajabu Masatu anaona Spika mnyamwezi wa Urambo yuko sahihi. Uzuri sasa serikali yenyewe inasema kuwa Barrick walidanganya na hii inamaanisha kuwa Cheyo alikuwa sahihi. Sasa hii inazidi kututia aibu wanyamwezi wa Tabora. Sijui sisi "Vanyantovola" aka Watu wa Tabora tumemiss nini kichwani? Lipumba, Sitta, Selleli, Said Nkumba, UVCCM-Tabora, nk nk waliopata shule safi kabisa na kuja kuishia mambo ya aibu aibu. Nafikiri umasikini wetu umetufanya kwamba ukipata basi wengine WASHUT UP. Kibaya, hawa viongozi wetu wa sasa wako chini ya Miguu ya kitoto kidogooo kiitwacho ROSTAM AZIZ.
Masatu, nakubaliana na wewe kuwa Sitta anaendesha bunge ki-akili na busara sana. Nilifikiri Wanyamwezi siye kila mtu anatuona hamnazo, ila Mirambo abarikiwe kuwa kuna akina Masatu wanaona "tunatumia busara sana".
 
Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.

Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.

Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!

Muda ule ulikuwa ni Kamati imekaa kupitisha bajeti, kwahiyo kipindi bunge linapokaa kama Kamati inabidi Mbunge anayeuliza Swali tena moja awe makini sana na anachouliza!! Sasa kwa Kauli ya Spika tiyari Mh. Burian alishaeleza mengi ambayo Cheyo aliuliza kuwa Kiwanda kilipoanzishwa kulikuwa hakuna sheria ya Mazingira (EIA) n.k..... Sasa bado cheyo akataka kueleweshwa na hapo kumbuka ile ni kamati siyo mijadala kama ya mchana!!!! na kumbuka siyo cheyo tu aliyekalishwa chini kuna mbunge aliyemtangulia wa ZNZ na yeye alifanyiwa hivyo kwa kutaka kuuliza swali la pili!! jamani tuwe waelewa kipindi kile ni kama KAMATI hakitakiwi longolongo nyingi!!! Kama kunamapungufu kwa SPIKA nadhani ni binadamu. Hilo ndo bunge lazima liendeshwe kikanuni na wabunge waliheshimu!!!
 
Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!

Ndio, alitumia gari ya serikali kumpa Hawara, pia alinunua dawa za mamilioni, hapo unasemaje kwa usongo tulionao?
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na spika anaetoka katika chama chenye wabunge wengi, siku zote atalinda maslahi tu ya chama chake, hata kama sita atajifanya eti hapendelei CCM, si walisema zimwi likujualo..... Sitta anajua nini kuhusu athari za kemikali? Cheyo ndio ni msomi na anajua kweli akisemacho, si alikuwa pale kiwanda cha nguo cha Mwatex Mwanza!
 
Heshima mbele wakuu... nadhani hawa wataalamu wetu (kina spika, waziri husika na wengine) wangeenda hapo nchi kama Afrika Kusini wakaangalie namna wanavyopata shida na kusalimisha/kusafisha udongo/ardhi yao kutokana na haya machimbo ya dhahabu.... Kwa sasa nadhani uchunguzi wenye fedha nyingi kwenye vyuo na taasisi za kisanyansi kule kusini ni "Gold tailings"........

hapa kwetu tunajifanya tunaelewa majamboz kumbe hakuna kitu.... hivi wakulu wanafahamu kuwa kuna cyanide involved in the process???

Hivyo mi nadhani hawa wakubwa wangeanza kusoma/kutembelea wenzetu waliotutangulia (badala ya kuishia kwenda shopping wakiwa kwenye ziara zinazolipiwa na walipa kodi wa Tanzania) kujifunza kuhusu athari za hii maneno.....

Aluta Continua.........
 
Jamani za siku nyingi sana?
Huyu ndiye spika wa standards and speed.
Watu wanapozungumzia ufisadi, kemikali eti siasa na wanafukuzwa bungeni mambo ambayo hata wananchi tungependa tuyajue,sasa hapa sitta anamtumikia nani? definetely some few people with big mouths
 
Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.

Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.

Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!

Kama Cheyo alisha amua kutoka, kulikuwa na ulazima gani wa Six kubwata 'go out', na kuita askari wamtoe? si alisha ona anatoka angemuacha tu?

Kibwagizo cha kwamba wapinzani wanataka kuleta udikteta kilikuwa kinahusikaje?

Six kachemsha big time! Heshima aliyo kuwa nayo kwa watanzania walio wengi, nasikitika kumtaarifu grafu yake imeshuka kwa kasi ya ajabu!
 
Kuna tetesi kuwa familia ya Joji Kichaka ina share kwenye kampuni ya Barrick na ndio maana Kichaka alitembelea Bongo. Ni kweli?
 
Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.

Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.

Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!

Bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako. Mtu mzima kumwambia Sit down kama mbwa ni kanuni ya bunge? Alipaswa kumwambia kwa namna na lugha ya kiungwana. Pili kwa nini spika amjibie waziri? Hapo ndipo utata ulipoanzia, maana spika alipomjibia waziri, Cheyo akasema, kama ni jibu la spika sawa (yaani akawa mnyonge) ila sikuridhika. Yaani spika kuwa mbogo pale alishaona amekosea kumjibia waziri na akaamua kuwa mkali ili kuficha kosa lake.
Turudi kwenye point - hoja ya madhara ya kemikali kule north Mara. Hivi Masatu unajua kuwa wale wanaoungua ni ndugu zetu na hao barrick wala hawagusi maji ya mito yetu?.
 
Back
Top Bottom