Wakunyuti
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 380
- 13
kila ninapomsoma Bluray.......namkumbuka Pundit........
Hivi Pundit alipotelea wapi yule jamaa????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila ninapomsoma Bluray.......namkumbuka Pundit........
Hapana huyu jamaa ni mara ngapi amefanya vitu vya ajabu sana?? Sio tuna wivu ukweli ni Kamba wote ni watu wazima. sio kweli kuwa tuna wivu naye ndugu yangu. Huyu ni anafuatza matakwa ya Chama Chake cha CCmKwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.
Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.
Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!
Kuliko kubaki na Bunge kama hili ni Bora kusiwe na wabunge
Hivi wakuu kuna mwenye info zozote za Pundit? duh manake nadhani level zake hizi....
Naungana na wewe ndugu yangu, maana hakuna jipya kule na pia wanafanya yale wanaona kuwa yanawafaa mwenyeweSpeaker Sitta ana tatizo la "niejerk" reaction na matokeo yake Bunge sasa linakosa mwelekeo kabisa. It is becoming so disgusting, so to speak. Naungana na Padri Karugendo aliyewashauri wafunge virago warudi makwao hakuna wafanyalo la maana kwa vile Bajeti imeshapita.
Hivi wakuu kuna mwenye info zozote za Pundit? duh manake nadhani level zake hizi....
Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.
Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.
Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!
Kwa hili Spika Sitta yupo sahihi kabisa. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake kile sio kijiwe cha kahawa watu wanakuja kupiga soga.
Spika anaposimama kuongea ki kanuni mbunge au msemaji mwingine anatakiwa akae chini. Kitendo cha Mh Cheyo kuendelea kusimama na kutaka kuongea na hatimae kuchukua makabrasha yake na kutoka nje ni uvunjaji wa kanuni. Iukumbukwe na izingatiwe Mh Cheyo kaanza kutoka kabla hata ya kuombiwa atoke kwa kifupi alizira, hivyo Sitta alikuwa sahihi kabisa kumtimua na pengine kumpa adhabu kubwa zaidi ya hiyo.
Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!
Kama mna chuki zenu na Mh Sitta tafuteni mahala pengine pa kuzitolea kwenye hili mmenoa!
Ndio, alitumia gari ya serikali kumpa Hawara, pia alinunua dawa za mamilioni, hapo unasemaje kwa usongo tulionao?
Nakuunga mkono Selous, Ni kweli Mh Cheyo aliamua kutoka kabla hata ya Sita kuwambia atoke.