comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kwa sababu gani aunganishe?Mods unganisha huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu gani aunganishe?Mods unganisha huu uzi
hakuna Hospitali isyo na choo na hilo.swala liko.chini Ya Halmashauri Husika..Wewe huwa unakula na kunya hapo hapo kama Nzige? Au mwenzangu wewe huwa unakula na vinatoka hapo hapo?
Hujiongezi kabisa ukajua kwamba mgonjwa anaweza kuwa alikula kwake na muda wa kwenda chooni ukafika akiwa hospitali?
Umeniuliza swali la kijinga sana!
Wameshafanya na Sera ya Vyoo ilishatungwa na utekelezaji ulishafanyika kwa baadhi ya halmashauri nahisi Kuna baadhi ya halmashauri ndo zina uzembe..Katika mfumo centralized kama huu wetu masuala ya vyoo yataulizwa tu bungeni, vinginevyo wafanye ugatuzi wa madaraka
Na ndivyo siku zote hufanyika Hivyo Hilo ssala lipo chini ya Vikao vya madiwani au Vikao vya halmashauri ya Wilaya..Naungana na Spika, hata kama hizo changamoto zipo, bado mbunge anaweza kuziwasilisha kwenye vikao vya madiwani, sio bungeni,
Ingekuwa ushauri wangu, jukumu la ujenzi wa vyoo iwe zahanati au shule, lielekezwe kwenye halmashauri kupitia own source zake
Rais mwenyewe anapanda ndege anaenda kwa mabeberu kuomba misaada ya kujenga vyooWatu wanahitaji vyoo mashuleni, hospitalini
Waache porojo, tunauliza kulingana na mahitaji yetu.
Kwaiyo spika anataka watu wakienda mahospitalini WASINYE?Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....
Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza Upungufu wa Vyoo Kwenye zahanati..
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson
HIli jibu limefanya niendelee kuona Huenda bunge letu linaweza kurejea kwenye ajenda maalumu za kitaifa kuliko kujadili Vitu ambavyo wananchi wanaona havina msingi
View attachment 2904864
Huyu mama anaongea kama vile huwa haendi choo,"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson
No!Kwaiyo spika anataka watu wakienda mahospitalini WASINYE?
Hapana,Huyu mama anaongea kama vile huwa haendi choo,
Kule Chato kuna choo cha shule kimezungushiwa mizigo ya nyasi
VYOO vya kariakoo, mitaa ya Masji quiblaten,kipata, Mtaa wa Nyamwezi pale karibu na duka la Woiso leather , Narungombe kote huko kumejaa kinyesi barabarani, mheshimiwa hizi tukajadilie wapi?Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....
Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza Upungufu wa Vyoo Kwenye zahanati..
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson
HIli jibu limefanya niendelee kuona Huenda bunge letu linaweza kurejea kwenye ajenda maalumu za kitaifa kuliko kujadili Vitu ambavyo wananchi wanaona havina msingi
View attachment 2904864
Sera zipo tangu 2016Choo ni choo, umuhimu wake ni pale utakapo banwa au ukiwa na mgeni. Dawa ni kujenga vyoo hakuna mkato. Sera ni muhimu.
Sasa kama viti maalum ufahamu wao ndio upo hivyo, suala la kubadili picha ya Rais kwenye hela ni suala la Bunge au BOT?No!
Hilo swala ni la Kamati ya Halmashauri inayohusu Madiwani na Sio Bunge
Kila halmashauri ina meya na Kila halmashauri ina Baraza la madiwani mwamuzi wa Kesi za kimitaa au Zilizo kwenye Hizo sehemu Ni Baraza la.madiwani..VYOO vya kariakoo, mitaa ya Masji quiblaten,kipata, Mtaa wa Nyamwezi pale karibu na duka la Woiso leather , Narungombe kote huko kumejaa kinyesi barabarani, mheshimiwa hizi tukajadilie wapi?
🤣🤣🤣Sasa kama viti maalum ufahamu wao ndio upo hivyo, suala la kubadili picha ya Rais kwenye hela ni suala la Bunge au BOT?