SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

Katika mfumo centralized kama huu wetu masuala ya vyoo yataulizwa tu bungeni, vinginevyo wafanye ugatuzi wa madaraka
Wamesahau kuwa jiwe alichukua yale yote yaliyokuwa mapato ya ndani ya halmashauri Sasa yanaingia serikali kuu. Lazima waziri atueleze serkali ina mpango gani wakutujengea vyoo. Au anataka kuhalalisha ile kauli ya jiwe kwamba watu wakae na mavi yao manyumbani kwao?
 
Kila halmashauri ina meya na Kila halmashauri ina Baraza la madiwani mwamuzi wa Kesi za kimitaa au Zilizo kwenye Hizo sehemu Ni Baraza la.madiwani..
Na Mbunge ni mmoja wa wajumbe Huko..
Na litaamuliwa na Mkurugenzi atapewa maelekezo nini cha kufanya
Mapato ya Halmashauri Jiwe au Shujaa aliyaelekeza seriali kuu, sasa wewe unasemaje waende kwa mkurugenzi wakati sasa hivi kila kitu ni control number na zinaenda hazina?
 
Wamesahau kuwa jiwe alichukua yale yote yaliyokuwa mapato ya ndani ya halmashauri Sasa yanaingia serikali kuu. Lazima waziri atueleze serkali ina mpango gani wakutujengea vyoo. Au anataka kuhalalisha ile kauli ya jiwe kwamba watu wakae na mavi yao manyumbani kwao?
Ndiyo hivyo
 
Bunge lenyewe limejaa watu wepesi
Kwenye kila nyanja

Ova
 
Wasukuma ni wavivu kujenga vyoo, si unakumbuka hapa juzi Kati walipatwa na magonjwa ya kuharisha maji meupe ,.

Wanakunya kwenye mifuko na usiku kutupa mavi barabarani. Au kwenye majalala ya soko
 
Sawa anaona vyoo vya wanafunzi ni kitu kisicho na umuhimu na hakiwezi kujadiliwa bungeni, sasa ni jambo la muhimu wanalo jadili mle ndani 🤔

walio somwa na Cag wamekwapua pesa za uma hawajachukuliwa hatua wako kimya tuu, sukari ni shida wao wako kimya tuu, umeme ni shida wao wako kimya tuu, maisha ya Watanzania walio wengi yanazidi kua magumu kila siku kwa sababu ya kupandishwa kimakusudi kwa bei za bidhaa muhimu wao wako kimya tuu, au jambo la muhimu kwao ni kujadili kuweka picha ya Samia kwenye hela ya Tanzania 🤔🤔
 
Naungana na Spika, hata kama hizo changamoto zipo, bado mbunge anaweza kuziwasilisha kwenye vikao vya madiwani, sio bungeni,

Ingekuwa ushauri wangu, jukumu la ujenzi wa vyoo iwe zahanati au shule, lielekezwe kwenye halmashauri kupitia own source zake
Mna bunge hapooo
Haya endeleeni kujadili kuwaongeza
Makalio wanawake na upuz mwingine
Vp haji manara na mke wake lini mtawakaribisha bungeni

Huyo spika,atambue tu hilo bunge
Lishadharauliwa kitambo tu huku uraiani

Ova
 
Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....

Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza Upungufu wa Vyoo Kwenye zahanati..

"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson

HIli jibu limefanya niendelee kuona Huenda bunge letu linaweza kurejea kwenye ajenda maalumu za kitaifa kuliko kujadili Vitu ambavyo wananchi wanaona havina msingi
View attachment 2904864
Kwa service a azopata anadhani kila mtanzania anazipata.
 
Mapato ya Halmashauri Jiwe au Shujaa aliyaelekeza seriali kuu, sasa wewe unasemaje waende kwa mkurugenzi wakati sasa hivi kila kitu ni control number na zinaenda hazina?
Mkuu Samahani unajua mapato ya aina ngapi ya halmashauri?
Pengine unaweza ukawa sio mwenye kufahamu..

Kwa mfano hayo unayosema nadhani unazungumzia Ushuru kuenda serikali kuu.?

sasa jibu ni kuwa yote hurudi halmashauri kama OC..

Na nadhani unaFahamu kuwa halmashauri ina vyanzo vingi sana vya mapato na vyote huingizwa kwenye account za Halmashauri..

Nachokuambia ninakifahamu
Kama una swali nakukaribisha
 
Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....

Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza Upungufu wa Vyoo Kwenye zahanati..

"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson

HIli jibu limefanya niendelee kuona Huenda bunge letu linaweza kurejea kwenye ajenda maalumu za kitaifa kuliko kujadili Vitu ambavyo wananchi wanaona havina msingi
View attachment 2904864
Mpuuzi simpendi huyu mama anajidai tu. Si juu yake kuweka aina gani ya maswali wabunge waulize. Waliyomchagua mbunge ndio wataamua kama anawaawakilisha vizuri au la. Kama je ametumwa kuuliza swali kuhusu choo za hospitali kwa hivyo asiulize kws vile tulia ackson kakaza?
 
Kila kitu kinaongozwa na Sheria na mipaka yake huwezi kuuliza maswali yanayotakiwa kujibiwa na Baraza la.madiwani ukauliza Bungeni..
Sasa baraza la madiwani lifanye shughuli gani?
 
Muda wa kuuliza maswali hautoshi lakini wa kusifia unatosha ?!!!!

Kama wameshindwa tu vyoo hayo mengine ndio wataweza ?!!!; Kama zahanati haina Choo tunasubiri kesho ndio tuje kulalamika watu wanakufa kwa kipindupindu ?
 
Watu wanahitaji vyoo mashuleni, hospitalini

Waache porojo, tunauliza kulingana na mahitaji yetu.

Wabunge wa Magufuli hao walipelekwa Bungeni kulinda maslahi ya Serikali .... sasa yeye haoni umuhimu wa choo kwa vile kwake kipo chumbani ..... watoto wa Maskini 1500 hawana choo hata kimoja.

Nimeiona hiyo video .... sasa badala ya kuifanyia kazi wataanza kumuandama mwlimu aliyesema hayo!! Ndiyo Bongo yetu hiyo!! Ndiyo MaCCM yetu hayo!!
 
Back
Top Bottom