Wamesahau kuwa jiwe alichukua yale yote yaliyokuwa mapato ya ndani ya halmashauri Sasa yanaingia serikali kuu. Lazima waziri atueleze serkali ina mpango gani wakutujengea vyoo. Au anataka kuhalalisha ile kauli ya jiwe kwamba watu wakae na mavi yao manyumbani kwao?Katika mfumo centralized kama huu wetu masuala ya vyoo yataulizwa tu bungeni, vinginevyo wafanye ugatuzi wa madaraka
ha ha ha, ila JIWE!Vyoo sio muhimu, watu wabaki na mavi yao nyumbani 😬
Mapato ya Halmashauri Jiwe au Shujaa aliyaelekeza seriali kuu, sasa wewe unasemaje waende kwa mkurugenzi wakati sasa hivi kila kitu ni control number na zinaenda hazina?Kila halmashauri ina meya na Kila halmashauri ina Baraza la madiwani mwamuzi wa Kesi za kimitaa au Zilizo kwenye Hizo sehemu Ni Baraza la.madiwani..
Na Mbunge ni mmoja wa wajumbe Huko..
Na litaamuliwa na Mkurugenzi atapewa maelekezo nini cha kufanya
Ndiyo hivyoWamesahau kuwa jiwe alichukua yale yote yaliyokuwa mapato ya ndani ya halmashauri Sasa yanaingia serikali kuu. Lazima waziri atueleze serkali ina mpango gani wakutujengea vyoo. Au anataka kuhalalisha ile kauli ya jiwe kwamba watu wakae na mavi yao manyumbani kwao?
Upo sahihi sahivi hata chaki ni Rais amenunuaKatika mfumo centralized kama huu wetu masuala ya vyoo yataulizwa tu bungeni, vinginevyo wafanye ugatuzi wa madaraka
Mna bunge hapoooNaungana na Spika, hata kama hizo changamoto zipo, bado mbunge anaweza kuziwasilisha kwenye vikao vya madiwani, sio bungeni,
Ingekuwa ushauri wangu, jukumu la ujenzi wa vyoo iwe zahanati au shule, lielekezwe kwenye halmashauri kupitia own source zake
Kwa service a azopata anadhani kila mtanzania anazipata.Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....
Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza Upungufu wa Vyoo Kwenye zahanati..
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson
HIli jibu limefanya niendelee kuona Huenda bunge letu linaweza kurejea kwenye ajenda maalumu za kitaifa kuliko kujadili Vitu ambavyo wananchi wanaona havina msingi
View attachment 2904864
Mkuu Samahani unajua mapato ya aina ngapi ya halmashauri?Mapato ya Halmashauri Jiwe au Shujaa aliyaelekeza seriali kuu, sasa wewe unasemaje waende kwa mkurugenzi wakati sasa hivi kila kitu ni control number na zinaenda hazina?
Tatizo mmeshindwa kumuelewa spikaKwa service a azopata anadhani kila mtanzania anazipata.
Spika uache ubinafsi. Vyoo ni muhimu sanaa kwa ustawi wa jamiiKwani vyoo sio muhimu?
Mpuuzi simpendi huyu mama anajidai tu. Si juu yake kuweka aina gani ya maswali wabunge waulize. Waliyomchagua mbunge ndio wataamua kama anawaawakilisha vizuri au la. Kama je ametumwa kuuliza swali kuhusu choo za hospitali kwa hivyo asiulize kws vile tulia ackson kakaza?Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....
Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza Upungufu wa Vyoo Kwenye zahanati..
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na kuna mambo mengi sana ya kujibu na Kuyaongelea na hakuna sababu ya kujadili vyoo humu ndani," - Spika wa Bunge, Dkt @TuliaAckson
HIli jibu limefanya niendelee kuona Huenda bunge letu linaweza kurejea kwenye ajenda maalumu za kitaifa kuliko kujadili Vitu ambavyo wananchi wanaona havina msingi
View attachment 2904864
Kila kitu kinaongozwa na Sheria na mipaka yake huwezi kuuliza maswali yanayotakiwa kujibiwa na Baraza la.madiwani ukauliza Bungeni..Mpuuzi simpendi huyu mama anajidai tu. Si juu yake kuweka aina gani ya maswali wabunge waulize. Waliyomchagua mbunge ndio wataamua kama anawaawakilisha vizuri au la. Kama je ametumwa kuuliza swali kuhusu choo za hospitali kwa hivyo asiulize kws vile tulia ackson kakaza?
Watu wanahitaji vyoo mashuleni, hospitalini
Waache porojo, tunauliza kulingana na mahitaji yetu.