SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

Sukari na umeme umewashinda, tuwarudishe tu kwenye vyoo napo hawataki wanataka tujadili posho au picha ya Mama kwenye note na vazi la Taifa?
 
Ukiona hivyo unakuta ramani ilikuwa na vyoo vya kutosha ila wakati wa utekelezaji ili kupata gawio jamaa wanaangalia pa kunguzia, so haraka haraka jamaa wanapunguza matundu ya vyoo.
Hayo maeneo yanayolalamikiwa ukisema ufatilie bajeti yake unawekuta kumepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…