S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
wananchi wanajua cha kufanya na watafanya muda si punde... ingependeza sana wampe speaker joto ya jiwe kwa style inayo akisi wadhiwa wake... labda watafanya muda si mrefu.Mtu anayesaidia kufichua uovu, anaambiwa mtovu wa nidhamu. Mmeona tulipofikia? Kuanzia spika and co. wanajiona miungu watu.
Mpina pekee hatoshi kupambana na hawa mahalamia. Wanzania hatubebeki, ilitakiwa tumpe sapoti shujaa wetu.
Kungekuwa na mgombea binafsi wa Uraisi, Mpina ningemfanyia kampeni nchi nzima. Hivi tunashindwa nini kwenda bungeni tukampe kashikashi betina akili imkae sawa.