Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Uko sahihi mkuu! Mpina ajilaumu mwenyewe na papara zake! Alikuwa amewashika vizuri, sasa kupelekwa kule kwenye kamati ndiyo amejimaliza kabisa hatoboi! Pamoja na raia wengi kusema anefanya vizuri maana tusingejua, sasa swali la kujiuliza, ndiyo tumejua alichoandika tunakifanyia kazi gani? Tuna msaada wowote tunaweza kumpa Mpina? Hii hadithi ndiyo imeishia hapo!Uko sahihi unajua SIASA ni mchezo mchafu sana
Siku zote unatafutiwa Upenyo kidogo Kisha unasurubiwa ikiwa unapenda HAKI HAKI inageuzwa kosa
Kama utakuwa umesikiliza Hiyo CLIP kwa umakini na ukaelewa utakubari ni kweli MPINA aliteleza kidogo na kufikisha kwenye kamati ya maadili kuhojiwa Hilo jambo la utovu wa nidhamu SPIKA hajamuonea ametumia muongozo na kanuni za bunge na ameelezea vizuri kabisa kosa la MPINA lipo wapi ni vile tu wengi tuna Chuki na CCM na huyu SPIKA(mm pia ni Moja wapo kati ya nisioipenda CCM BETINA MADELU BIBI TOZO yaan hao siwapendi hata kuwasikia sitaki) ndo mana tunajifanya hatuoni kosa la MPINA
MPINA alitakiwa we na SUBRA kidogo baada kuapatiwa majibu ya ushaidi wake ndo angekutana na waandishi
Kwa ninavyomjua huyu BETINA na roho mbaya yake ndo mana hanenepi lazima ampige na kitu kizito MPINA na pia kutumia mwanya huo kumsafisha yule msomali mjingmjinga BASHE ambaye kabla alikuwa moto kama MPINA ila baada kula teuzi tu akaanza USANII
Kwannani asiyejua kama BASHE anafanya biashara kubwa kwenye sekta ya kilimo
Bwana mdogo BASHE anahisi watanzania wote wajinga siyo Yale anayofanya kwenye SEKTA YA KILIMO hatuyaoni