wananchi wanajua cha kufanya na watafanya muda si punde... ingependeza sana wampe speaker joto ya jiwe kwa style inayo akisi wadhiwa wake... labda watafanya muda si mrefu.Mtu anayesaidia kufichua uovu, anaambiwa mtovu wa nidhamu. Mmeona tulipofikia? Kuanzia spika and co. wanajiona miungu watu.
Mpina pekee hatoshi kupambana na hawa mahalamia. Wanzania hatubebeki, ilitakiwa tumpe sapoti shujaa wetu.
Kungekuwa na mgombea binafsi wa Uraisi, Mpina ningemfanyia kampeni nchi nzima. Hivi tunashindwa nini kwenda bungeni tukampe kashikashi betina akili imkae sawa.
Mimi nasema Mpina alikuwa sahihi kuwapa waandishi ile taarifa. Angekaa kimya spika ange funika kombe.Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu...
Ukimsikiliza hadi mwisho, ni kama ameuruka huo mtego na kuwarushia Kamati ya Bunge wachafuke mikono wentewe.Speaker anaanza kutumia madaraka yake vibaya, halafu trick yao moja wote kujaribu kuwapa hekaheka watu wanaojaribu kufichua uovu.
Kazi ya mmbunge ni kuisimamia serikali yeye speaker anadhani wabunge wapo pale kufanya maigizo.
Nyaraka za Mpina zinakuwaje taarifa zilizotayarishwa na bunge, huyu Betina nae mtu hovyo kweli.
Hajitambui huyo, hoja za kujibiwa na serikali; anazipeleka kamati ya haki na maadili wachunguze.Ukimsikiliza hadi mwisho, ni kama ameuruka huo mtego na kuwarushia Kamati ya Bunge wachafuke mikono wentewe.
Muda wote aliokuwa akifanya uwasilishaji sauti yake ilitawaliwa na kitetemeshi, kitetemeshi hicho kilianza kwa kujificha, lakini kila alipoendelea kilisikika dhahiri...
Wewe wakati huo ukiwa kwenye TV pembeni unaangalia?Kachome bwana utuokoe!!
Anakosa Back up ya RaiaAisee! Mwisho wa siku jamaa ndo anaonekana mbaya
Au pia angemgeuzia Mpina kibao na kusema akileta vielelezo vya uwongo. Mpina akawa mjanja, aliliona hili mapemaMimi nasema Mpina alikuwa sahihi kuwapa waandishi ile taarifa. Ange kaa kimya spika ange funika kombe.
Niseme tuu kwamba Ccm ni michaka cha kulindana. Hata sasa wana tafuta jinsi ya kuonyesha ushahidi wa Mpina hauji toshelezi.