Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili

Wewe nawe hujui kitu! Hizo Nyaraka za Mpina wala sio za Bunge! Ulitaka ukweli wake ukanyagwe na wapuuzi hao halafu ndo aje kuongelea! Yaani ulitaka chakula kiliwe halafu ndo aje kukosoa mpishi? Nyinyi ndo wale mnajifanyaga mna akili sana kumbe ni wapuuzi tu mlovaa suti!
 
Spika anaishukuru serikali 😁😀 daaa!.
Mambo mengine yanawezekana Tanzania.

Mhimili wenye jukumu la kufanya kazi ya ‘oversight of the executive’ kuchunguza matendo yao, utii wa procedures na government policies.

Mbunge anaefanya kazi hiyo ndio adui, na speaker anatamka hadharani kuisifu serikali kutokujibu.

Baada ya hapo speaker anatafuta kanuni za bunge na kuzipa translation anayoitaka yeye ili ajengee hoja za kumkandamiza mmbunge anaetaka kuisimamia serikali iwe accountable kwa kutofuata government procedures kama kazi yake inavyomtaka.

Kaazi kweli kweli
 
Sasa subiri atakavyopigwa tiktak! Hivi unaijua ile kamati ya madili ya Bunge wewe? Yaani mpaka Spika anafikia hatua ya kuishukuru serikali kuna chochote hapo?
 
MASIKINI YA MUNGU SPIKA ANAKWENDA KUJIHARIBIA!, ONE MUST RESIGN TO RESCUE, HOJA HII KUPAA!
 
Bongo ina laana, kazi kweli kweli. Watu wamepita na mzigo wa kutosha aliyetusanua ndio anakuwa victim 😃
Niliwahi kusema hata zile enzi za shotiii,sikuwahi kumwelewa bii kidude.Ila ajabu na kweli nilistaajabu sana jinsi alivyoendelea kubebwa kwa mbeleko la chuma hadi amekuwa na kuwa mkubwa kabisa na hatimaye akaanza kumzabua shotiii makofi,ilhali alimbeba enzi za utoto wake🤔
 
Yupo kiongozi mmoja duniani aliwahi kutumia lugha ya kuudhi,ili angalao yuzinduke usingizini,lakini aahh wapi, matokeo yake tuliziba masikio na kumwona mwehu ila ni mtu mwerevu sana🤣
 
Mwisho anasema na Bunge litafanya maamuzi juu ya Jambo hili alolifanya Mpina.


Kwa hiii tone yake tayari amemhukumu Mpina kama mkosaji na sio kile Mpina alichofanya kufuatia matakwa yake mwenyewe ya kumataka alete ushahidi.


Katika jambo ambalo lingemsaidia Spika kufuta Mapungufu yake yote kuanzia Suala la Bandari.

Lilikua ni hili la Sukari.


Ila kwakua Sikio la Kufa halisikii dawa, kaingia kwenye 18 .


MPINA kama Mbunge wa kawaida, Hana Nyenzo nyingine ya kupata Ushahidi kama alioutoa, Tena Mpina alisema "Nitaendelea "....

Alomtuma MPINA, ni Mkubwa kuliko Spika .


BITOZO Ajiandae, amepimwa, na ameonekana amepungua .

Tukutane 2025 in Makonda's Voice!!.
 
Huyu sio yule Tulia aliyekua akiongea kwa aibu kwenye lectures zake.
 
Raia inabidi siku moja tuandamane hadi Bungeni na ikibidi kulitia kiberiti, Fuatilia sababu za baadhi ya majengo ya Bunge ya nchi kadhaa kuchomwa moto na waandamanaji
Naunga mkono hoja.
 
Spika anatakiwa ajue hata unapoweka zega kubwa juu ya ukweli
Madam speaker with all due respect,you let the genie out of the bottle by yourself by giving the man time to prepare and wanted him to prove.What were you thinking huh?Did you assume he would let himself ashamed infront of the whole country easily like that?
Now you brought us to this mess,letting our party and our cabinet a laughing stock to the nation!You should be ashamed by yourself and kept quiet.
Leo nimevurugwa na broken yg
 
Sasa unaunga mkono wala kwa kamba au mkata kana za mlo🤭
 
Inazidi kudhihirika wazi jinsi gani CCM ilivyo na kutokuwa wakweli.
Pale kiongozi anap9sema ukweli lazima wamfanyie Zengwe.

Hivi Ile kauli ya NITASEMA FITINA UKWELI KWANGU MWIKO iliishaishilia mbali!
CCM kweli hamnaga aibu!
 
Alafu anatamka eti kati ya spika anayeheshimika zaidi ni yeye kuliko wengine.

This is Tanganyika land buana!.
 
Spika anamlinda Samia na na Bashe, tuna kiongozi wa hovyo saNa kuwahi kutokea kwenye historia ya hili taifa.
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu...
Huyu spika ni wakala wa kuifilisi nchi! Nakumbuka hata DP World aliitetea huyu betina.
 
Raia inabidi siku moja tuandamane hadi Bungeni na ikibidi kulitia kiberiti, Fuatilia sababu za baadhi ya majengo ya Bunge ya nchi kadhaa kuchomwa moto na waandamanaji
Hao mnaoandamana na kulitia Bunge kiberiti ni wewe, mkeo, watoto na wazazi wako au Kuna wengine?
 
Uko sahihi unajua SIASA ni mchezo mchafu sana
Siku zote unatafutiwa Upenyo kidogo Kisha unasurubiwa ikiwa unapenda HAKI HAKI inageuzwa kosa
Kama utakuwa umesikiliza Hiyo CLIP kwa umakini na ukaelewa utakubari ni kweli MPINA aliteleza kidogo na kufikisha kwenye kamati ya maadili kuhojiwa Hilo jambo la utovu wa nidhamu SPIKA hajamuonea ametumia muongozo na kanuni za bunge na ameelezea vizuri kabisa kosa la MPINA lipo wapi ni vile tu wengi tuna Chuki na CCM na huyu SPIKA(mm pia ni Moja wapo kati ya nisioipenda CCM BETINA MADELU BIBI TOZO yaan hao siwapendi hata kuwasikia sitaki) ndo mana tunajifanya hatuoni kosa la MPINA
MPINA alitakiwa we na SUBRA kidogo baada kuapatiwa majibu ya ushaidi wake ndo angekutana na waandishi
Kwa ninavyomjua huyu BETINA na roho mbaya yake ndo mana hanenepi lazima ampige na kitu kizito MPINA na pia kutumia mwanya huo kumsafisha yule msomali mjingmjinga BASHE ambaye kabla alikuwa moto kama MPINA ila baada kula teuzi tu akaanza USANII
Kwannani asiyejua kama BASHE anafanya biashara kubwa kwenye sekta ya kilimo
Bwana mdogo BASHE anahisi watanzania wote wajinga siyo Yale anayofanya kwenye SEKTA YA KILIMO hatuyaoni
 
Lolote linawezakutokea. Baada ya kusikiliza hiki kipande sijaona ubaya wa spika.

Narudia Bashe ahonge sana jambo lipite salama kama kweli anamakandokando yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…